Amenipa tiketi ramsi ya michepuko

Amenipa tiketi ramsi ya michepuko

Mtihani ninaokutana nao kwa huyu binti ,sikuwa na nia ya kutafuta michepuko lakini itanibidi, amekuwa MTU Wa visingizio , lawama ninapokuwa namuhtaj kimapenzi (sex) kisingizio sija muoa .
Hivyo hapendezwi na kufanya nae mapenzi Mara kwa mara
Chakushangaza anatambua fika mwaka 2020 nataka kumuoa.
ila kuanzia Leo 6/9/19 nime dhamiria kutofanya nae sex (Mara kwa Mara km anavyodai yeye) hivyo itanibid kutafuta mchepuko maana nimechoshwa kumsihi swala hili. Nilishawah kumueleza na sex nae Mara kwa Mara sababu sihitaji michepuko na wala sina lakin nimeona haelewi , hivyo kwavile asikii nanyamza na kuamua kuwa na mchepuko ili nimpumzishe.
Safi sana Baharia, wacha akae nayo mbunye yake. Wewe endelea kivingine!!
 
Fuata taratibu.

Jitambulishe peleka posa kisha mpewe baraka za wazazi.

Ndoa itafuata tu.
 
Heee, kumbe hata hujamuoa unataka awe anakukubalia kila ukitaka? Inaonekana humpendi unataka tu sex. Suala la kusema nimemwambia nitamuoa 2020 siyo hoja. Inaonekana ana akili kuliko wewe, na anajiheshimu sana.

Kwanza wewe mpagani? Huko unakoenda hujafundwa kwamba kufanya mapenzi na mchumba wako kabla ya ndoa sio jambo zuri? Na umejiuliza kama yeye masuala ya uwajibikaji kidini anayachukulia serious kiasi gani? Utamlazimishaje kitu ambacho kinamuumiza dhamiri yake kama unampenda kweli?
Nani aliyekufundisha kusex kabla ya ndoa sio vizuri. Nyie ndio wale mnaouziwa mbuzi kwenye gunia. Halafu unajifanya unaijuuua dini na umefunga ndoa mkiwa na watoto wanne, sijui mimba ziliingia kwa uwezo wa roho mtakatifu??
 
Ahadi za uongo eti utamuoa 2020?wewe kama unataka kuchepuka chepuka wacha visingizio.

Wanaume Hamna haya mtoto Wa watu unataka kumlala kila siku kisa umemwambia utamuoa? Na upate ukimwi akili ikukae sawa.
 
Mtumie hii copy ambatanisha

Mtihani ninaokutana nao kwa huyu binti ,sikuwa na nia ya kutafuta michepuko lakini itanibidi, amekuwa MTU Wa visingizio , lawama ninapokuwa namuhtaj kimapenzi (sex) kisingizio sija muoa .
Hivyo hapendezwi na kufanya nae mapenzi Mara kwa mara
Chakushangaza anatambua fika mwaka 2020 nataka kumuoa.
ila kuanzia Leo 6/9/19 nime dhamiria kutofanya nae sex (Mara kwa Mara km anavyodai yeye) hivyo itanibid kutafuta mchepuko maana nimechoshwa kumsihi swala hili. Nilishawah kumueleza na sex nae Mara kwa Mara sababu sihitaji michepuko na wala sina lakin nimeona haelewi , hivyo kwavile asikii nanyamza na kuamua kuwa na mchepuko ili nimpumzishe.
 
Nenda Kariakoo kamtafute Mchg. Daniel Mgogo haraka
 
Yaani unajihalalishia kwa ahadi tu. Kwanini usimuoe? Sababu nyingi na ujanjajanja havikufikishi mbali.
 
Unamuoa wa kazi gani? Unafikiri ukimuoa atabadilika? Au utaendelea kuchepuka?
 
Swali la msingi ni wakati mnaanza mahusiano alikuweka wazi kuwa hamtafuck mpaka ndoa au amebadilika katikati? Kama jibu ni hilo la mwisho, inawezekana kabisa haumridhishi au mbaya zaidi anapata kwa mwingine.
 
Ahadi za uongo eti utamuoa 2020?wewe kama unataka kuchepuka chepuka wacha visingizio.

Wanaume Hamna haya mtoto Wa watu unataka kumlala kila siku kisa umemwambia utamuoa? Na upate ukimwi akili ikukae sawa.
Hhaha
 
Mpe hela uone kama atakunyima, na akikupa nafasi itumie sio unatwanga kama makande mfyuuu
 
Ndioo mkuu..inafikiaga wakat mtu anakuambia kwa kilio

"plz jamaan nmekumis ,hata kama uko bize jitahidi usiku wa kesho tuwe wote" .

Unamjibu ,ratiba zimetait na sina Pesa

Anakuambia, Plz jitahidi tu muda upatikane, kuhusu pesa haina shida.

Mzee baba, siku iyo unashangaa ndani kunajazwa nakila aina ya mazagazaga !!.
 
Wengi hawajui ndo maana tunataka tufarijiwe kwa fwedha tu, maana hamna namna nyingine
 
Kuna jamaa angu, anapiga wake za watu sana, alafu wanamuonga mnooo.

Majuzi kuna demu amemlia jamaa ,anaongea kwenye simu analiaa sana..mpaka.mchizi akamwambia amtumie laki nne..demu katuma fastaa..ndo jamaa akakubali kumla mzigo.
( jamaa anakuonyesha meseji, unakuta meseji za madem kibao wanalia lia )

Nkagundua kumbe, kuna wanawake wanahongwa alafu wanakuja kuhonga.
 
Daaah, sawa ila mimi siwezi fanya hivi hata iweje, nitamweshimu mume wangu
 
Back
Top Bottom