Ameniambia "Hujanijua vizuri eh"

Ameniambia "Hujanijua vizuri eh"

Thanks Sir
Ameshakuambia kuwa bado huja mjua vizuri and you have started complaining. Ukimjua uta kula sumu. You need to be proactive na kuwa na maamuzi
 
Kama anakusumbua kipindi hiki,ukimuoa atazidi,vizuri umejua hizo tabia zake mapema na unaweza kuachana nae,inabidi ufanye maamuzi ya kiume.
Mimi nishawahi kuwa katika mahusiano kama hayo na ambae sasa ni ex wangu.Mwaka mzima tulokuwa wapenzi niliona ukorofi wake,nikajipa moyo nikimuoa atabadirika na alikuwa anataka sana ndoa.Nilivomuoa hakukuwa na mabadiriko yoyote mambo yalikuwa yale yale.Fanya maamuzi mapema kabla hujafika sehemu ambapo maamuzi yatakuwa magumu zaidi kuyafanya.
 
Mimba anayo tayari mkuu sijachelewesha, hayo mengine nitafanya maana ndo option iliyobaki
We utaanzaje kuchota maji, kupika kwani ni mgonjwa.Ni hivi kuanzia leo ukiondoka ukiulizwa unarudi saa ngapi,sema saa moja afu ibuka home saa sita usiku,nguo zikianikwa nje hata mvua ikinyesha usianue jifanye ulisahau,ukila acha vyombo kwenye sinki hata ikipita siku mbili havijaoshwa usiviguse,akipiga simu kukuuliza unarudi saa ngapi mwambie narudi baada ya nusu saa afu unarudi masaa manne baadaye.Cha mwisho mtie mimba.
 
Kama anakusumbua kipindi hiki,ukimuoa atazidi,vizuri umejua hizo tabia zake mapema na unaweza kuachana nae,inabidi ufanye maamuzi ya kiume.
Mimi nishawahi kuwa katika mahusiano kama hayo na ambae sasa ni ex wangu.Mwaka mzima tulokuwa wapenzi niliona ukorofi wake,nikajipa moyo nikimuoa atabadirika na alikuwa anataka sana ndoa.Nilivomuoa hakukuwa na mabadiriko yoyote mambo yalikuwa yale yale.Fanya maamuzi mapema kabla hujafika sehemu ambapo maamuzi yatakuwa magumu zaidi kuyafanya.
Ahsante sana kiongozi
 
Uhusiano miezi 8.

Kuishi kuanzia miezi 4 iliyopita.

Kisha ushaanza mipango ya ndoa.

Kaka sikutukani ila umeanza mapenzi umeanza ukubwani.
Ni mzoefu wa mapenzi mkuu sema wenzetu ndo hawako real tu
 
Back
Top Bottom