Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,190
- 34,527
Kuachwa chukulia kuwa ni shule ya kukusaidia mbele ya safari.
Ukienda kwa mganga, mganga atamteka yeye na atamkula yeye sio wewe.
Mbona wewe mwenyewe mganga ukiamua.
Kwanza hela zenyewe shilingi ngapi hadi sasa umempa?????
Wewe ulikuwa na vipesa vya fanta tu ndio maana ameshindwa hata kupritend, ungekuwanazo asingekutamkia zaidi angepritend na papuch ungekula.
Tafuta hela tena nenda kamuonge, uwe unampa laki na zaidi ndio utawin.
Nawa Mikono, sepa! Achana na huyo mtu, utajikuta umepoteza muda na fedha nyingi endapo utamfuatilia wakati huo muda ungeutumia kumtafuta mwanamke mwingine. Achana nae, papuchi kitu gani, mbona ziko nyingi?
Mkuu kachukue form ya urais