Ameniacha natamani kwenda kwa mganga

Ameniacha natamani kwenda kwa mganga

Habari za jioni wana MMU,

Huyu mwanamke nmemuudumia sana, amekula pesa zangu mwisho wa siku kaniacha hata penzi sijaonja. Kaniambia live kuwa hakuwahi kunipenda wala kufikiria so alikuwa ananichezea na kunilia pesa zangu nataka niende kwa mganga ajirudishe kwangu nipige papuchi ndio tuachane.

Je, hii sio hatari kwake na kwangu
?

Hahaa...ukifanikiwa ulete mrejesho
 
Mkuu usifanye hivyo, katika ulimwengu wa sasa ni ngumu kumuhudumia mwanamke na kisha asikulipe fadhila. Umekosa papuchi shukuru Mungu sana amekuepusha, amini usiamini mara nyingi ukihudumia kitu na kisha kukikosa, Mungu anakuepusha ma Maradhi mabaya sana toka kwa huyo dada. Maisha na yaendelee
 
Ukimtupia samaki chambo ikiliwa wacha kulalamika. Endeleza uvuvi.Kuliwa kwa chambo sio mwisho wa uvuvi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom