Ameniacha eti sijui ku-care

Ameniacha eti sijui ku-care

Care inategemea mtu na mtu. Care ninayoitaka mimi haiwezi kufanana na hiyo anayoitaka huyo wako. Ukimpenda mtu utamjali kama anavyopenda. Na yeye pia akujali kama unavyopenda.
.
.
Pesa pia ni moja ya caring lakini iangalie kipato. MAPENZI NI PESA (huu ni ukweli lakini ni mchungu mno kwa baadhi ya watu). Toa bila shurti usipende kuombwaombwa kila siku.
.
.
NO ROMANCE WITHOUT FINANCE
.
.
Na kama mpenzi wako kazidi kuomba hata bila sababu ya msingi basi muweke chini mueleze wazi kuwa huwezi kumpa hela hovyo hovyo bali kwa utaratibu unaoeleweka. Kama anakupenda atakuelewa, asipokuelewa basi ndio ujue yupo after money piga chini kabla hajakupiga chini.
Mimi namcare mwanamke mwenye msimamo na anayenishauri namna ya kuzitatua changamoto zilizopo sasa ili zisijitokeze miaka mitano ijayo.

Simpendi mwanamke mwenye kuiga mwenendo wa kidunia

Kuhusu pesa, ni bora kila mtu akatafuta zake.

Mnaodhani mapenzi ni pesa, ndio mnaoishia kuchapwa na kuachwa
 
Sawa mkuu. Naheshimu mtazamo wako!
 
Umofia kwenu wana jukwaa!

Wadada badilikeni na jifunzeni kujua hakuna mwanaume aliyekamilika, msijifanye too complex kuliko uhalisia, acheni kuiga uzungu. Kuna binti nikiwa form six yeye alikuwa five shule moja huko Kilimanjaro. Tukiwa kule shule sikuwahi kuongea naye labda salamu kwa nadra, nilipomaliza zangu chuo huko Moro nikarudi zangu mjini wakati huo yeye akiwa DUCE basi tukaingia kwenye mahusiano.

Kiufupi tulikuwa kwenye hali ya juu sana ya mapenzi nilimpenda sana yule binti na mwenyewe niliona napendwa. Bahati mbaya naona alizidisha hulka ya uzungu kwenye kitu kinaitwa CARE. Alitaka kila wakati niwe nafanya mambo ambayo mwenyewe yangempa uhakika kwamba nacare. Sijui yeye alidefine vipi neno kucare maana nilifanya mengi ila hakuridhika. Basi hatimaye tuliachana anatafuta mtu anayejua kucare.

Lakini si mimi tu yuko rafiki yangu wa karibu jamaa wa Kilimanjaro huko naye alikuwa na demu wake hapa mjini , basi demu kila wakati anataka apigiwe simu, akiomba hela apewe immediately, akisema anaumwa anataka jamaa afike haraka iwezekanavyo, kwakweli rafiki yangu huyu naye yalimshinda wakatemana na binti bado anatafuta mwanaume anayejua ku care.

Humu JF kuna nyuzi kibao zinazoanzishwa na wadada au wake za watu kuelezwa jinsi ambavyo wameolewa na wanaishi vizuri, mara wana nyumba na kila moja ana gari ila kavutiwa na jamaa fulani anayejua kucare. Yaani unakaa unasoma maelezo ya mtu unashindwa kujua huyu mwanamke ni kahaba au anatafuta kitu kwa mume wake.

Hivi shida ni nini nyie dada zetu mnataka tuwafanyie nini mridhike?

JE MAMA ZENU WALIKUWA NA HAYA KWELI AU MALEZI NDIYO HAMKUPEWA VIZURI AU NDIYO KUSOMA HUKO?

AU NISAIDIENI WADADA ZANGU, NINI MAANA YA KU-CARE?
Care is everything kwenye mahusiano bro. Ila inagusa pande zote.

Mwanamke inabidi ajari naye ili mambo yaende sawa. Ukikuta mwanamke analilia yeye kuwa cared na hajari kucare kile unafanya, huyo ni selfish na ni wa kumkimbia.

Mwanamke anayejari ni yule mwenye vision. Anaye care kuhusu future yako. Ukimpata wa hivyo, utaenjoy sana.

Haya madunga embe ya mjini yanayoita pesa ni care, achana nayo. Huwa hayaridhiki hata siku moja. Siku zikikuishia, yatakukimbia tu

Mwanamke mzuri ni yule anayecare care yako kwake. Simple like that.

Labda nikupe mfano.
Niliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke sehemu niliyokua nafanyia kazi. Yaani na yeye alikua mfanyakazi kwenye kampuni jirani na yetu. Ni kwamba tulikua tunapokea mshahara unaolingana. Cha kushangaza ni kwamba yule mwanamke alikua ananiomba hela ya saloon kila wiki, alikua anataka nimtoe out kila mwisho wa wiki. Alikua anataka akiona nguo mpya, nimnunulie.

Aisee nilimkimbia haraka sana maana hela yote ya akiba nilikua inaishia kwake. Nikimuuliza mshahara wake anaufanyia nini? Alikua hana jibu zaid ya kuniambia kumhudumia ni wajibu wangu.

Nikamwambia inatosha.

Kuanzia wakati huo, nikaamua kufunga ndoa na ndoto zangu mpaka zitakapotimia
 
Girl- baby unaumwa
Boy- unaumwa nini
Girl- homa
Boy- haya pole
Girl- mmh bby jaman njoo unione
Boy- nitakuja vipi nikuletee nini mgonjwa
Girl- niletee ndiz mbivu, parachichi, zabibu, nanasi, peasi, machungwa, tikiti maji, usisahau nandizi mbichi nanusu yanyama
Boy- mmh baby sasa hayo matunda yote jaman unayala yote kwamda huu? Maana hata friji hamna labda kusema utayahifadhi
Girl- mmh baby wewe hata ujui kucare basi tu poa ukitaka usilete nawala ucje
 
Mia baba yangu anamcare sana mama... Akipiga chafya tu anaulizwa anataka nini!!! Mzee harudi nyumbani bila zawadi ata siku moja... Atanunua ata Fursana au pipi... Mama hajawai weka neti, akipata usingizi anajibwaga tu kitandani, baba atakuja weka neti... Yaani mwanamke kama huyu unadhani mbaba gani anaweza mdanganya? Analelewa kama mtoto na mumewe.
Hahaha,Duuh! Sasa huyo mmama uvivu huo sasa! Hadi anawekewa neti! Bado kutandikiwa shuka![emoji134]
 
Umofia kwenu wana jukwaa!

Wadada badilikeni na jifunzeni kujua hakuna mwanaume aliyekamilika, msijifanye too complex kuliko uhalisia, acheni kuiga uzungu. Kuna binti nikiwa form six yeye alikuwa five shule moja huko Kilimanjaro. Tukiwa kule shule sikuwahi kuongea naye labda salamu kwa nadra, nilipomaliza zangu chuo huko Moro nikarudi zangu mjini wakati huo yeye akiwa DUCE basi tukaingia kwenye mahusiano.

Kiufupi tulikuwa kwenye hali ya juu sana ya mapenzi nilimpenda sana yule binti na mwenyewe niliona napendwa. Bahati mbaya naona alizidisha hulka ya uzungu kwenye kitu kinaitwa CARE. Alitaka kila wakati niwe nafanya mambo ambayo mwenyewe yangempa uhakika kwamba nacare. Sijui yeye alidefine vipi neno kucare maana nilifanya mengi ila hakuridhika. Basi hatimaye tuliachana anatafuta mtu anayejua kucare.

Lakini si mimi tu yuko rafiki yangu wa karibu jamaa wa Kilimanjaro huko naye alikuwa na demu wake hapa mjini , basi demu kila wakati anataka apigiwe simu, akiomba hela apewe immediately, akisema anaumwa anataka jamaa afike haraka iwezekanavyo, kwakweli rafiki yangu huyu naye yalimshinda wakatemana na binti bado anatafuta mwanaume anayejua ku care.

Humu JF kuna nyuzi kibao zinazoanzishwa na wadada au wake za watu kuelezwa jinsi ambavyo wameolewa na wanaishi vizuri, mara wana nyumba na kila moja ana gari ila kavutiwa na jamaa fulani anayejua kucare. Yaani unakaa unasoma maelezo ya mtu unashindwa kujua huyu mwanamke ni kahaba au anatafuta kitu kwa mume wake.

Hivi shida ni nini nyie dada zetu mnataka tuwafanyie nini mridhike?

JE MAMA ZENU WALIKUWA NA HAYA KWELI AU MALEZI NDIYO HAMKUPEWA VIZURI AU NDIYO KUSOMA HUKO?

AU NISAIDIENI WADADA ZANGU, NINI MAANA YA KU-CARE?
Mkuu ukihangaika kumridhisha mwanMke kwa gharama hizi ujue kuna mtu anaumia wew au wazaz wako! Tafuta mwanamke mwenye akili ya maisha na upendo wa dhat mimi zaman nimegharamia sana lakin huwez amin niliishia kuwaridhisha wao wengewe! Now nimekuwa mchumi kwel kwel niko radhi nikae mwaka mzm bila ya kula papuchi ila nijikijikamue kwenda uchumi wa kati otherwise wataishia kukucheka uzeeni ni bora niwe na roho mbaya! Tu
 
Hawa watoto wa kike wasijichanganye . kweli mtu anaachama mdomo mbele ya watu na kusema kwamba " mpenzi wangu ananipenda sana sana ila he doesn' t care me? Is it realy possible to be loved but not cared? Sidhani, labda mwanamme awe dume suruali.
 
Wengi wakiongea neno care wanamaanisha pesa, care is directly proportional to cheddah in today's relationships.
 
Ila awa mademu wenye udhungu wakiboya mm cwapendagi thana mm!!
 
The Only Care I Know Is To Run Train On A Bitch Till She Get Amnesia . To Care Is To Dick
 
Back
Top Bottom