Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,783
- 95,575
Hiyo 7M bora umpe mtoto mzuri...Kaka umemaliza! sitaki kuuliza tena swali lingine umemaliza mkuu. Kama ni mithani nahisi ungepata 100% japo nilikuwa sina majibu. HII NDIYO KU-CARE WANAYOTAKA KWELI. Aisee ngoja nianze kujenga ile nyumba yangu kwa 7M kama nilivyouliza jana , aksante kwa majibu mzuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]