social_science
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,105
- 1,261
huwa wana demand pesa kupitia mwamvuli wa care ,fany scrutiny mkuu
Utafiti wako umeonyesha kuwa wanawake wanapenda caring. Ndivyo hivyo tulivyo ndugu na hatutabadilika labda iwe dunia nyingine. Ishi na wanawake kwa akili..ndo hivyo mlivyoambiwa!
.
.
.
Care, caring ndo tunachotaka. Hatuwezi kufanana na nyie. Pia mna mambo yenu yanakera kama nini lakini ndio hivyo mlivyo, mmeumbwa hivyo na hatuwezi kuwabadilisha!
Mia baba yangu anamcare sana mama... Akipiga chafya tu anaulizwa anataka nini!!! Mzee harudi nyumbani bila zawadi ata siku moja... Atanunua ata Fursana au pipi... Mama hajawai weka neti, akipata usingizi anajibwaga tu kitandani, baba atakuja weka neti... Yaani mwanamke kama huyu unadhani mbaba gani anaweza mdanganya? Analelewa kama mtoto na mumewe.
.. ngoja nilale bila net na mimi 

Haaaaaaaahaaaaaaa akhsanteeeeee!huwa wana demand pesa kupitia mwamvuli wa care ,fany scrutiny mkuu