Ameniacha eti sijui ku-care

Ameniacha eti sijui ku-care

mkuu mbona toka tutemane kashapita kwa wengine kama watatu, juzi ananiambia eti kama naweza kuzidisha care kidogo turudiane, nikamgomea . Wanafikiri maisha ni marahisi kama mtu anayetoka kijijini kuja dsm akifikiri huku maisha yanaokotwa tu.
Achana naye kabisa atakuletea magonjwa, acha kumfikiria wala kumuwaza.
 
kujali hii mnayotaka ni ipi mrembo? hebu nambie contents za care maana nilikuwa nafanya kama mwanaume kwa mpenzi wake ila sikujua anachotaka au ni kutoa roho ya mwanaume? hebu niokoe plz care yenu hii ni ipi?
Siku zote wanawake tunatofautiana hivyo ni wewe kujiongeza kwa unayempata.

"Eti kutoa roho ya mwanaume" wala hatuzitaki roho zenu tunataka kujaliwa baasi.
 
Care inategemea mtu na mtu. Care ninayoitaka mimi haiwezi kufanana na hiyo anayoitaka huyo wako. Ukimpenda mtu utamjali kama anavyopenda. Na yeye pia akujali kama unavyopenda.
.
.
Pesa pia ni moja ya caring lakini iangalie kipato. MAPENZI NI PESA (huu ni ukweli lakini ni mchungu mno kwa baadhi ya watu). Toa bila shurti usipende kuombwaombwa kila siku.
.
.
NO ROMANCE WITHOUT FINANCE
.
.
Na kama mpenzi wako kazidi kuomba hata bila sababu ya msingi basi muweke chini mueleze wazi kuwa huwezi kumpa hela hovyo hovyo bali kwa utaratibu unaoeleweka. Kama anakupenda atakuelewa, asipokuelewa basi ndio ujue yupo after money piga chini kabla hajakupiga chini.

Bora umekuwa mkweli mapenzi ni pesa, no romance without finance. The so called love is business like other businesses to you wadada . Mtu kama wewe naweza kudeal naye vzr maana najua ukisema care nitakuwa najua nini unakiongea ila kuna hawa wanaojifanya wao pesa kwao siyo shida ila bila pesa wanaon huwajali.
 
Siku zote wanawake tunatofautiana hivyo ni wewe kujiongeza kwa unayempata.

"Eti kutoa roho ya mwanaume" wala hatuzitaki roho zenu tunataka kujaliwa baasi.

Hebu jitolee tu mfano mamy, as a woman vitu gani ukifanya na mume wako au mpenzi wako utaona anakucare plz! lengo ni kutaka kujifunza and no one will take your explanations to disturb you.
 
Bora umekuwa mkweli mapenzi ni pesa, no romance without finance. The so called love is business like other businesses to you wadada . Mtu kama wewe naweza kudeal naye vzr maana najua ukisema care nitakuwa najua nini unakiongea ila kuna hawa wanaojifanya wao pesa kwao siyo shida ila bila pesa wanaon huwajali.
Na pia pesa sio caring pekee tunayopenda. Ukiwa mume halafu kazi yako ni kutoa pesa bado kutakuwa na malalamiko. Pesa iwepo na mengine pia ufanye. Na yeye afanye pia ya kukufurahisha sio umjali yeye tu.
 
Kama umemtafuna achana nae, mwanamke akitafunwa inabidi awe na heshima, ukiona ana nyodo baada ya kumtafuna ujue kuna mwenzako anamlidhisha zaidi, hata huyo wako huwenda anakulinganisha na mwanaume wake mwingine ndio mana anakusumbua.
 
kucare ni kujali...sio kifedha tu..hata kiuwepo na vinginevo!
eg girl wako anaumwa..kalala hoi anaexpect u to be the first person kuja kumpa pole halafu marafiki ndo waje.
sasa wewe unampa pole kwenye simu halafu unajiweka busy na mishe zako..wat do u expect from her?atajiskia vibaya sana.yani atabaki anasononeka"yani baby kakosa hata japo saa moja au dakika chache for me?
imagine its her birthday...watu wengi kwenye simu hadi mitandaoni wanamuwish...we upo kimyaa!!atajiskiaje
kucare kunamfanya mwanamke ajione special kwako na pia inampa tafsiri yupo alone kwako na kujiamini dat she is always on ur mind and heart kama ulivo kwake!
jiongeze kaka...eti uzungu!!!loh
 
kujali hii mnayotaka ni ipi mrembo? hebu nambie contents za care maana nilikuwa nafanya kama mwanaume kwa mpenzi wake ila sikujua anachotaka au ni kutoa roho ya mwanaume? hebu niokoe plz care yenu hii ni ipi?
Care wanayotaka ni mpe fedha hata kama hajakuomba, mpe fedha hata kama na yeye anapokea mshahara wewe mpe zako tuuu, mshahara wake ni wake lakini mshahara wako ni wenu,

Mnunulie simu kali, mnunulie vocha, mnunulie gari ya kutembelea, mnunulie kila aina ya nguo mpya itakayoingia sokoni, mnunulie viatu na mapambo mengine kama vile Vito vya dhahabu, mpigie simu kila Muda mnapokuwa hampo pamoja, kwenye whatsapp yako usichat na Wengine Ila chati na yeye tuu, mbusu na kumuhagi mbele za watu,

Kama una gari basi mfungulie mlango wakati wa kupanda gari na kushuka, mfunge mkanda wa siti, mwambie I love you kila Muda,

Kubwa zaidi mkaze kweli kweli mpaka akojoe mabao ya kutosha mpaka awe hooooiii bin taaban!!

Huku ndo kucare, je unao uwezo huo?? Kama huna jipange kwanza mdogo angu!!!
 
Utafiti wako umeonyesha kuwa wanawake wanapenda caring. Ndivyo hivyo tulivyo ndugu na hatutabadilika labda iwe dunia nyingine. Ishi na wanawake kwa akili..ndo hivyo mlivyoambiwa!
.
.
.
Care, caring ndo tunachotaka. Hatuwezi kufanana na nyie. Pia mna mambo yenu yanakera kama nini lakini ndio hivyo mlivyo, mmeumbwa hivyo na hatuwezi kuwabadilisha!
Too much caring ni ujinga lazima mpeane nafasi kupigiwa pigiwa simu kila wakati haimaanishi kua mwenzi wako anakupenda, mmetoka kuonana asubuhi unataka muda wa chai mchati, muda wa chakula cha mchana mchat muda wa kurudi nyumbani mchat sasa si upuuzi, huo!! Mimi nikitoka nyumbani ukiona nampigia simu mume wangu basi kuna maelekezo au kuna kitu namkumbusha otherwise tuonane jioni
 
Kama huna pesa hawezi kuona una m'care

Ata ufanyaje hawaridhiki hawa viumbe
 
Ndugu yangu analingia usichana tu huyo, ukishampatia watoto kadhaa hiyo wanayoiita Care italegezwa masharti.
 
Mm uwa natahidi kucare pale mwanzo nikishatembeza pumbuga basi sina mda hao hawana maana kabisa
 
Ndugu yangu analingia usichana tu huyo, ukishampatia watoto kadhaa hiyo wanayoiita Care italegezwa masharti.
Jitahidi kuwa mvumilivu kwa muda baadae mtaenda sawa tu, atafuata njia zako.
 
Care wanayotaka ni mpe fedha hata kama hajakuomba, mpe fedha hata kama na yeye anapokea mshahara wewe mpe zako tuuu, mshahara wake ni wake lakini mshahara wako ni wenu,

Mnunulie simu kali, mnunulie vocha, mnunulie gari ya kutembelea, mnunulie kila aina ya nguo mpya itakayoingia sokoni, mnunulie viatu na mapambo mengine kama vile Vito vya dhahabu, mpigie simu kila Muda mnapokuwa hampo pamoja, kwenye whatsapp yako usichat na Wengine Ila chati na yeye tuu, mbusu na kumuhagi mbele za watu,

Kama una gari basi mfungulie mlango wakati wa kupanda gari na kushuka, mfunge mkanda wa siti, mwambie I love you kila Muda,

Kubwa zaidi mkaze kweli kweli mpaka akojoe mabao ya kutosha mpaka awe hooooiii bin taaban!!

Huku ndo kucare, je unao uwezo huo?? Kama huna jipange kwanza mdogo angu!!!
Mpe mpe huyo.ongezea na marinda pia anyoshewe.
 
Kaka umemaliza! sitaki kuuliza tena swali lingine umemaliza mkuu. Kama ni mithani nahisi ungepata 100% japo nilikuwa sina majibu. HII NDIYO KU-CARE WANAYOTAKA KWELI. Aisee ngoja nianze kujenga ile nyumba yangu kwa 7M kama nilivyouliza jana , aksante kwa majibu mzuri
 
Too much caring ni ujinga lazima mpeane nafasi kupigiwa pigiwa simu kila wakati haimaanishi kua mwenzi wako anakupenda, mmetoka kuonana asubuhi unataka muda wa chai mchati, muda wa chakula cha mchana mchat muda wa kurudi nyumbani mchat sasa si upuuzi, huo!! Mimi nikitoka nyumbani ukiona nampigia simu mume wangu basi kuna maelekezo au kuna kitu namkumbusha otherwise tuonane jioni
Caring sio lazima simu kila mara. Watu tunatofautiana.
Tafuta mtu ambae mnaendana nae..ukiona hukubaliani na mambo yake au yeye akubaliani na ya kwako na mmeshindwa kwenda sawa basi hamstahili kuwa pamoja, mtakuwa mnalazimisha!
 
Back
Top Bottom