Ameni-dump kwa mara ya pili

Aaaaah naona kakufanya pozeo lake, pole!!
 
Yaani hicho kinaniuma Zaidi, alipokuwa BF kwa zamani tulivaa mpira, juzi ilikuwa kavu!!!

Lililopita limepita songs mbele mdogo wangu. Subiria Kama mwezi mmoja hivi ukajicheki afya yako halafu tulia kimya.
 
Sky Eclat

Kweli wewe mpumbavu thamani yako ndogo sana unaruhusu vipi mtu mjinga kama huyu ateke akili yako yote sasa mwenzako kakufanya jamvi la wageni pole.
 
Last edited by a moderator:
Una hatari weye! Hopefully hajakuachia gonjwa hatari au kazygote.

Yaani hicho kinaniuma Zaidi, alipokuwa BF kwa zamani tulivaa mpira, juzi ilikuwa kavu!!!
 
Pole mwaya kwa kugeuzwa kipoozea


Halafu second chance kwa mume wa mtu?,,
 
Hapo ndio ninapowapendea wadada. Wengi wao ukishapita mara moja utapita tena na tena....its just you!!!
 

Kumbe unauza
 
Ila ndio mapenzi yalivyo, ni mara chache mbuzi kufia kwa muuza supu
 
Dont be unecessarily mean and rude. Muwe na huruma ndugu zangu, itikadi za BOYS TO MEN hapa zinamnyongonyeza victim.

Hapa hata akipewa ushauri kashambwato tu halafu akakimbiwa hakuna ushauri hapa labda kama anatafuta faraja ndio maana wanasema mtalaka hatongozwi
 

best mwingne tena??? mana mwanasiasa alishakusaula. hebu nitafutie mmoja wa kuchuna mana unavyojua kunusa pesa nimekunyoshea miguu.
 
muv on mdada japo umeumia sana lkn inabid usonge mbele.
 
best mwingne tena??? mana mwanasiasa alishakusaula. hebu nitafutie mmoja wa kuchuna mana unavyojua kunusa pesa nimekunyoshea miguu.

MWANASIASA GANI? The night walker siomie, mie nilipewa tu story niandike
 
Subiri aje mara ya tatu tena atafune kitumbua yako then uje tena hapa kulialia. Nyie viumbe style yenu ndo hiihii tu make mwajitia wajuaji sana karne hii kujifanya waruka rukaji kama ndege pori kutafuta malisho mazuri bila kujua athari zake kwetu wanaumme.
 
Sky Eclat

Mimi naona unampenda sana sema hukuelewa kwamba ulitafutwa kwasababu ya kum entertain kwa kipindi hicho cha mkutano.

Hongera kwa kuonyesha kumpenda ila next time jitahidi kuwa makini.

Makosa ni ya binadamu.
 
Last edited by a moderator:
Mimi naona unampenda sana sema hukuelewa kwamba ulitafutwa kwasababu ya kum entertain kwa kipindi hicho cha mkutano.

Hongera kwa kuonyesha kumpenda ila next time jitahidi kuwa makini.

Makosa ni ya binadamu.

Siyo siri nilimpenda sana, nikadhani this time round amemiss penzi langu.
 
Haya ni kawaida sana katika ulimwengu wa mapenzi, sema tu wengi hawasemi, pia kukaa two years bila kukulwa nakupongeza sana aisee! Endelea kufurahi maisha yako wala hakuna haja ya kuumia!

inabidi tu tuamini maana hakuna namna (in the voice of PM)
 
Pole mwaya ndiyo unakomaa hivyo,
Baadae hawatakusumbua kabisaaa...!!!
Maana moyo utakua ushapoa, wa baridiiiii.
Kikubwa,asiwe kakuachia Magonjwa au mtoto ambaye hutakua na furaha nae.

Jamani kama kuna kutendwa mie nilitendwa jamani!! LAKINI SIO NA MUME WA MTU. (Uzuri hakuna ex wangu alieoa hadi nimeanza mimi) Yani hiyo ya kuachwa na kurudiwa ni mbaya mno! Usirudie tena, Mahusiano yakiisha yameisha hata ubembeleze vipi.

Usirudie tena, yani natamani nikuambie huku nakutazama usoni. Wanaume wana tamaa mno, na ukishaona anakuletea matani yenye giza mkimbie mapema.
Nahisi sitamaliza hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…