Ameline:Namshukuru Mungu amenipa twins wa kike!

ameline

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
2,292
Reaction score
1,152
Jamani ndugu wana MMU labour siyo mchezo jamanii duu..hasa sie wa mapacha kila mtoto ana uchungu wake..namshukuru Mungu wa mbinguni nimejifungua salama salmini..kazi kwenu kunitafutia majina...
cc: miss chagga, defend or die, excel, na wengineo! ONE LOVE!
 
Hongera sana....utulie ulee vzr wawe na afya njema.
 
Hongera sana na Mwenyezi Mungu akujalie kila la heri katika kuwalea
 
Jamani ndugu wana MMU labour siyo mchezo jamanii duu..hasa sie wa mapacha kila mtoto ana uchungu wake..namshukuru Mungu wa mbinguni nimejifungua salama salmini..kazi kwenu kunitafutia majina...
cc: miss chagga, defend or die, excel, na wengineo! ONE LOVE!

Hongera bibie, kumbuka wahenga walisema "kulea mimba si kazi, kazi ni kulea......" take care!
 
Hongera mwaya..na mimi natamani sana nikiolewa nipate twins
 
Hongera na muwe na afya njema ww na wanao
 
Jamani ndugu wana MMU labour siyo mchezo jamanii duu..hasa sie wa mapacha kila mtoto ana uchungu wake..namshukuru Mungu wa mbinguni nimejifungua salama salmini..kazi kwenu kunitafutia majina...
cc: miss chagga, defend or die, excel, na wengineo! ONE LOVE!
Hongera sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom