Amelaaniwa na mke wake, ameanza kuwa chizi

Amelaaniwa na mke wake, ameanza kuwa chizi

Da inasikitisha sana tatizo watu husahau walikotoka ukipendwa pendeka ukitendewa mema nawe tenda mema. Bora yupo hai mnamuona kuna mkoa niliwahi kuishi wao ukiwatenda hivyo wanakutanguliza chini haraka kuna mdada alimsaidia mchumba wake kumlipia ada ya chuo ili waje kuish wote na walikuwa wamezaa mtoto mmoja cha ajabu yule kaka alipomaliza chuo alimkataa huyo dada na kuoa mwingine hakucheleweshwa .
 
Hii chai haina sukari.
Hii chai haina sukari.
Nina wasiwasi na umri wako pamoja na IQ yako,kama uliwahi kushinda njaa ,huwezi kumshangaa anayeomba chakula, Kama uliwahi kufiwa huwezi kumshangaa anayelia bila kukoma.
Ni mjinga tu ndo hushangaa kila jambo na kila tukio huhisi ni uongo maana hajaona maisha, hajatembea kujua watu na dunia Kwa ujumla, siwezi kupoteza muda wangu kuandika uongo because nobody pays me for this.
Nimelileta hapa tukio hili ili watu wajue, ni kipi kinampata mwanadamu pindi akienda kinyume na mapenzi ya Mungu.
 
Binadamu husahau mapema sana walikotoka na walio tabika nao.....
Mie nimejifunza kitu hapa khaswa ktk uzi huu !!

Ciprofloxacin. yule mzee alipogundua kuwa binti yake kampenda fukara, alimwonyesha haraka Sana avunje hayo mahusiano, binti hakusikia ndo kwanza akazidisha mapenzi Kwa Ben.
yaani story kama za wahindi hata waafrika wanazo eeenh ????

mshana jr ahsante kwa ufafanuo....
 
Back
Top Bottom