housegirl
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 3,125
- 2,194
I'm nothing like my mother. don't know what you're talking about.All women become like their mothers. That is their tragedy. No man does. That's his.
I'm nothing like my mother. don't know what you're talking about.All women become like their mothers. That is their tragedy. No man does. That's his.
Cause conditions and effect
Teh teh.. Ukiziona upishe mbali hasaHahha hivi na hiyo ni laana!!? Itabidi nikae nazo mbali...
I'm nothing like my mother. don't know what you're talking about.
Wanaume mara nyingi husamehe ndio maana laana huwa haiwi kali kwa mwanamke japo mara nyingi wanawake hao ukifuatilia sana utashuhudia laana inavowatafuna ktk maisha yao. Mara nyingi laana huwa kali ikiambatana na matamshi na kinyongo. Maneno yanaumba; Wanaume mara nyingi si wapenzi wakutamka maneno ya laana ukilinganisha na wanawake, ndio maana wanawake wanaolaaniwa na waume zao ni wachache ukilinganisha na wanaume. Ieleweke wazi kuwa laana haichagui jinsia. Hata ukija kuniibia mali zangu na endapo nitasononeka sana ndani ya roho yangu basi mwizi hatafika mbali ktk maisha yake. Hii ni kanuni ya dhambi, no sin goes unpunished.Ni habari yakusikitisha sana kwa wote binti na huyo bwana ben. Lakini kwa kupitia mtandao huu huu kuna visa vingi sana vya wanawake wanaowatenda waume/marafiki zao baada ya kusaidiwa kama kusomeshwa, kutafutiwa kazi, nk. Je, kuna yeyote mwenye taarifa ya nini kinawapa wanawake waliowasaliti wapendwa wao baada ya kuwawezesha kimaisha? Itakuwa vizuri na hao tukawajua huenda ikatufundisha kitu kama tunavyojifunza kupitia kwa Ben.
Upo sahihi mkuu. Wengine wanaita Karma na wengine wanaita kanuni ya dhambi na wengine wanasema lolote utendalo wajitendea mwenyewe na nafsi yako. Hayo yote ni kweli.Unapaswa kuelewa hakuna atendaye hila awe me au ke akaacha kupata malipo ya hila zake.
Wanaume mara nyingi husamehe ndio maana laana huwa haiwi kali kwa mwanamke japo mara nyingi wanawake hao ukifuatilia sana utashuhudia laana inavowatafuna ktk maisha yao. Mara nyingi laana huwa kali ikiambatana na matamshi na kinyongo. Maneno yanaumba; Wanaume mara nyingi si wapenzi wakutamka maneno ya laana ukilinganisha na wanawake, ndio maana wanawake wanaolaaniwa na waume zao ni wachache ukilinganisha na wanaume. Ieleweke wazi kuwa laana haichagui jinsia. Hata ukija kuniibia mali zangu na endapo nitasononeka sana ndani ya roho yangu basi mwizi hatafika mbali ktk maisha yake. Hii ni kanuni ya dhambi, no sin goes unpunished.
Upo sahihi mkuu. Wengine wanaita Karma na wengine wanaita kanuni ya dhambi na wengine wanasema lolote utendalo wajitendea mwenyewe na nafsi yako. Hayo yote ni kweli.
Usiteme bazoka kwa karanga za kuonjeshwa.Niambie tafadhali.....!
Da inasikitisha sana tatizo watu husahau walikotoka ukipendwa pendeka ukitendewa mema nawe tenda mema. Bora yupo hai mnamuona kuna mkoa niliwahi kuishi wao ukiwatenda hivyo wanakutanguliza chini haraka kuna mdada alimsaidia mchumba wake kumlipia ada ya chuo ili waje kuish wote na walikuwa wamezaa mtoto mmoja cha ajabu yule kaka alipomaliza chuo alimkataa huyo dada na kuoa mwingine hakucheleweshwa .
Dah ila wanaume mnajua kutuumiza sana.
Nakumbuka kuna mdada alichukua mil 30 akampa mpenzi wake ili anunue kiwanja waanze kujenga. Kumbe mwenzake anafanya manunuzi na mwanamke mwingine.......kuja kujua dada ameomba arudishiwe hela yake mpaka sasa haijarudishwa.......
Sasa nawaza je huyu mkaka atapata laana?
Walikuwa na matarajio ya ndoa ....pande zote mbili za wazazi zinajuana ......na alikuwa akirudi aje atoe posa kwa huyu binti.....ila akajikuta anazuzuka na mtu wa facebook akamsahau. Anyway sie twaangalia tu.kupenda huko kunatakiwa kwenye ndoa ili mkivurugana,mnagawana pasu kwa pasu, ila kama ni hizi za bebi bebi lazima walizwe