Amelaaniwa na mke wake, ameanza kuwa chizi

Amelaaniwa na mke wake, ameanza kuwa chizi

Walikuwa na matarajio ya ndoa ....pande zote mbili za wazazi zinajuana ......na alikuwa akirudi aje atoe posa kwa huyu binti.....ila akajikuta anazuzuka na mtu wa facebook akamsahau. Anyway sie twaangalia tu.

wanaume washajua many girls are desperate na kuolewa ndio maana wanatumia techniques kibao kumbe hamna kitu
 
safi sana ndo dawa yenu wanaume tena naona hajamfanyia vizuri bado
 
Back
Top Bottom