Amekutwa na ky jelly!

Ushahidi wa kimazingira unaonyesha kuwa huyo binti ametumia mtandao. Na sasa laini inapatikana bila chenga!
 
BabaUbaya kama ni mimi ningepata jibu kwani unapo do na mpenzi wako kuna vitu vingine ambavyo unakuwa huna majibu mfano ni hili sasa muulize kama alikuwa na mashaka yoyote kabla na hilo jambo basi KY inaweza kuwa intermediate test towards conclusion. Pia katika kufanya kwake mapenzi kama alishawahi kumpapasa papasa je respond yake ilikuwaje? Alifurahia na kunyegeka zaidi au ilimtoa stimu? Huyo Bro wako akikupa majibu ya maswali haya tegemea kupata conclusion ya hayo mafuta ya KY.
 
Matibabu gani kwani yeye Mkunga wa jadi?

Mkuu, chandarua kilitengenezwa kwa ajili ya kuzuia mbu lakini watu siku hizi wanatumia kuvua. Haina maana kwamba KY ilitengenezwa kwa ajili ya kula tigo
 
Duh, hiyo kali.. labda nikirejea nitakuwa na lakusema
 
WanaJF nimejaribu ku-print Contributions zenu na kuziwakilisha kwa Bro wangu aliyemkuta Mtarajiwa wake na KY JELLY. ameshukuru na anasema leo jioni atanieleza amefikia wapi juu ya uamuzi kuhusu tukio hilo analodai kwake ni historia. nitawaletea mrejesho wa suala hili mara atakaponifahamisha!
 
we BEEP uone kama kitu kipo hewani...halafu kiita piga kabisa.....ni bahati amemkuta nayo hiyo Ky Jelly, wenzake hawana hiyo bahati.....wanajiona vidume.....kumbe kuna kidume kingine kimeweka ky jelly mlangoni.
 
mke na mtandao mh?

Hapo ndo huwa mnakosea shekh! Mchovya hachovyi mara moja! Mbuzi anapajua sana mahali anapokula magadi kila siku ukitaka ahame na wewe mwekee magadi karibu hatoenda mbali!
 
Hizi mila zanabana sana inawezekana girlie anapenda ila hawezi mwambia jamaa, so jamaa aombe hiyo kitu vizuri na kwa upole akipewa aichangamkie. Who knows inawezekana akafunika kila kitu na dem asiende street tena kutafuta huduma.
 
huyo shemeji yako lazima anatumia kale ka mtandao ka kujiexpress yourself
 
Aaahh hizi ndoa za siku hizi nazo kisa fulani kaoa sijui kaolewa zinaboa!!
Mwambie bro ajaribu kutumia mtandao nae akiona unapatiakana jibu analo akiona not reachable bas ndoa iwepo
Signature na sahihi yako... Ardhi na mbingu:rain:
 
Duh hii kesi ni ngumu.................amuulize tu mkewe mtarajiwa why amekuwa nayo na ameitoa wapi? And why iwe meshatumika.

Hivi Ky gelly huwa inatumia kwenye Robo shilingi tu??.............What about sie wengine ambao kila kukicha ni kama unaanza moja yaani the place shrinks so fast and need a lot of efforts and lubricants to pave the way??
 

Najaribu kusoma hiyo sehemu..................
 
Aaahh hizi ndoa za siku hizi nazo kisa fulani kaoa sijui kaolewa zinaboa!!
Mwambie bro ajaribu kutumia mtandao nae akiona unapatiakana jibu analo akiona not reachable bas ndoa iwepo

bora tuoane wenyewe unasemaje
 



Mh..!! Tukianza kukumiminia PM utamlaumu nani mama......????
 
It looks like huu mtandao wa TiGo utakuja kuvunja ndoa nyingi sana huko tunakokwenda either kutokana na watu kuomba TiGo ndani ya ndoa (baada ya kusikiliza story za vijiweni) na kutolewa nje ama watu kuwashtukia wenzi wao kwamba wanaliwa hiyo kitu nje ya ndoa...
 
anaonyesha anajali.. bravoo!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…