Amechoka kutendwa anahitaji mume

Mamushka bht huyu binadamu ushamweleza mahusiano yetu? Au nimweleze mwenyewe?

nimemumunya nini huyu nimemweleza dhahiri wewe ni kaka yangu mkubwa sasa sijui mtanigombea kuwa mdogo wenu au vipi hebu muulize!!!
 
Hongera sana kwa kuwa muwazi maisha ni imani. Ombeni nanyi mtapewa, bila kusahau mficha uchi hazai.

Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua

Mmh hapa JF wachumba wapo kweli 🙂
aliyekuwa amebaki kaoa juzi juzi Geoff ,,Fidel anasomea upadiri .
all ze best mdada !
Jamani tusikatishane tamaa dada, maisha ni lazima yaendelee na watakao yaendeleza sio wengine bali ni sisi wenyewe.
 
Mkuu Masanilo uko wapi??? Mambo hayoooo...

Mkuu Masanilo nilikuulizia mapema kabla kina Chrispin na Pape hawajaamka... ona sasa wapo naye ukipiga hizo namba wanapokea wao... Maana nimepiga akapokea dume nnahisi atakuwa mtemi kama Kaka zake Raptusia katika Movie ya NORBIT!!!!
 
nimemumunya nini huyu nimemweleza dhahiri wewe ni kaka yangu mkubwa sasa sijui mtanigombea kuwa mdogo wenu au vipi hebu muulize!!!

Kiongozi drphone hebu mjibu mamushka wangu hapa! Naogopa kukuuliza!
 
Mkuu Masanilo nilikuulizia mapema kabla kina Chrispin na Pape hawajaamka... ona sasa wapo naye ukipiga hizo namba wanapokea wao... Maana nimepiga akapokea dume nnahisi atakuwa mtemi kama Kaka zake Raptusia katika Movie ya NORBIT!!!!

Bwana ni hangover hizi.....anyway ngoja mimi nimsomeshe bht......
 
Hahaha! Kiongozi mi huwa silalagi. Muda wote nakuwa: angalia location yangu!
 
Bwana ni hangover hizi.....anyway ngoja mimi nimsomeshe bht......

Zenji lazima uamke na HANG-OVER! Bia za moto,Bata Moto,Usiku joto... Mchana joto... Pole sana Masanilo sasa Bht akija utampeleka Zamani Kempinski au Serena maana stima kule 24/7???....
 
hasomeshwi mtu shule wala madrasa hapa.....nimeridhika na msukuma wangu....

Zenji lazima uamke na HANG-OVER! Bia za moto,Bata Moto,Usiku joto... Mchana joto... Pole sana Masanilo sasa Bht akija utampeleka Zamani Kempinski au Serena maana stima kule 24/7???....

na wewe TB siende wala sifiki zenj wala kizimkazi......
 
Piga shule mbona bado mdogo 23?mie nimeoa wakati na miaka kinyume chako yaani 32, nenda shule la sivyo UTATENDWA SANA TU
 
Du!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…