Amebadilika baada ya kumpa penzi

Amebadilika baada ya kumpa penzi

Kagua mashine yako iko sawa. Usikute beling zimetanuka hapo ekseli ikawa inaogelea kila mahali.
 
Simple alikuwa anakutamani kimapenzi...

We sio mbaya,we sio kwamba hujui mapenzi,we sio mchafu,We sio kwamba huna mvuto...

Mwanaume akikutamani kingono kakutamani kingono kubadilisha hiyo attitude Ni ngumu sana...

Usipoteze mda wako mama,move on hapo ndo ushagongwa hivo, kaa jipange kwa mahusiano mengine...

Hii game ni ngumu sana kuwa makini mtoto mzuri...

Maneno ya Mwisho makali usijitie kimbelembele kurudi kwake ata ku damage tu,mwishowe ujione kituko....
Facts
 
Mimi ni msema kweli. Njoo nikugegede kisha nitakupa jibu
 
Siku hizi wanaume wengi hawana nguvu za kiume. Inawezekana ni walebwa dak 5 hivyo anaona soo kukurudia.
Tabia ya wanaume kama hao ni kubadilsha wanaume kila kukicha ndo njia pekee ya kuonesha ukidume wao
 
Habari yako inafanana na habari hii

2 Samweli 13
1 Ikawa baada ya hayo, Absalomu, mwana wa Daudi, alikuwa na umbu mzuri, jina lake akiitwa Tamari, naye Amnoni, mwana wa Daudi, akampenda.

2 Akasononeka Amnoni, hata akaugua, kwa ajili ya umbu lake Tamari, maana huyu msichana alikuwa mwanamwali, Amnoni akaona ni vigumu kumtendea neno lo lote.

3 Lakini Amnoni alikuwa na rafiki, jina lake Yonadabu, mwana wa Shama, nduguye Daudi; naye Yonadabu alikuwa mtu mwerevu sana.

4 Naye akamwambia, Kwa nini, Ee mwana wa mfalme, unakonda hivi siku kwa siku? Hutaki kuniambia? Amnoni akamwambia, Nampenda Tamari, umbu la ndugu yangu, Absalomu.

5 Yonadabu akamwambia, Lala kitandani mwako ujifanye mgonjwa na babako atakapokuja kukutazama, umwambie, Mwache ndugu yangu, Tamari, aje, nakusihi, anipe mkate nile, akaandae chakula machoni pangu nikione, nikakile mkononi mwake.

6 Basi Amnoni akalala, akajifanya mgonjwa; na mfalme alipokuja kumtazama, Amnoni akamwambia mfalme Mwache ndugu yangu, Tamari, aje, nakusihi, aniandalie mikate miwili machoni pangu, nipate kula mkononi mwake.

7 Basi Daudi akatuma mjumbe aende nyumbani kwa Tamari, akasema, Nenda sasa nyumbani kwa Amnoni, ndugu yako, ukamwandalie chakula.

8 Akaenda Tamari nyumbani kwa nduguye Amnoni; naye alikuwa amelala. Akachukua unga, akaukanda, akaiandaa mikate machoni pake, akaioka mikate.

9 Akalitwaa kaango, akaisongeza mbele yake; lakini alikataa kula. Naye Amnoni akasema, Toeni watu wote kwangu. Wakatoka kila mtu kwake.

10 Amnoni akamwambia Tamari, Kilete chakula chumbani, nipate kula mkononi mwako. Basi Tamari akaitwaa mikate aliyoifanyiza, akamletea Amnoni nduguye mle chumbani.

11 Naye alipokwisha kuileta karibu naye, ili ale, Amnoni akamkamata, akamwambia, Njoo ulale nami, ndugu yangu.

12 Naye akamjibu, La, sivyo, ndugu yangu, usinitenze nguvu; kwani haifai kutendeka hivi katika Israeli; usitende upumbavu huu.

13 Nami nichukue wapi aibu yangu? Wewe nawe utakuwa kama mmoja wa wapumbavu wa Israeli. Basi, sasa, nakusihi, useme na mfalme; kwa maana hatakukataza kunioa.

14 Walakini yeye hakukubali kusikiliza sauti yake; naye akiwa na nguvu kuliko yeye, akamtenza nguvu, akalala naye.

15 Kisha Amnoni akamchukia machukio makuu sana; kwa kuwa machukio aliyomchukia yakawa makuu kuliko yale mapenzi aliyokuwa amempenda kwanza. Amnoni akamwambia, Ondoka, nenda zako.

Jambo la msingi ni kufanya mapatano na Mungu wako kwa kuanguka kwako ktk dhambi ya uzinzi na uamue kwa dhati kutojihusisha na mapenzi nje ya ndoa maana baada tu mapenzi kwa watu wasiyo wana ndoa chuki inakuja maana anajihisi hatia maana shetani aliyewashawishi anakuwa amewaacha baada ya kufanikisha lengo lake la kuwashusha
 
Mkiambiwa muwe wasafi mnanuna na kupanic... Matokeo yake ndio ayo.

Na sisi tutakuwa tunatest tu hvyo hvyo.. Tukikosa tunachokitaka tunasepa....
 
Back
Top Bottom