Amebadilika baada ya kumpa penzi

Amebadilika baada ya kumpa penzi

Mtoa Mada na wanawake wenzako mnaskia wanaume tunaitana mabaharia kiufupi nadhan hamuwajui mabaharia huyu sasa uliekutana nae ndo Baharia

Hakika ametuwakilisha vyema
Kweli wewe ni mtu ambaye dah unawapa watu matumaini .
Akiwemo Sakayo
 
Wewe umempenda huyo wa bank, hao jamaa Mara nyingi wengi wakiachishwa kazi, hua wanachoka Sana kimaisha.

Hata hivyo nimpongeze huyo Baharia maana alichokifanya ndio tulichokubaliana kwenye kikao chetu Cha mwisho.
 
Mimi ni binti nina miaka 24, nilikuwa na mahusiano ya kirafiki na kaka mmoja ambaye ni mfanyakazi wa benki moja hivi, baadaye tukawa wapenzi, akaniuliza kama nampenda kwa dhati au nina mtu mwingine, nilimjibu kuwa sina mtu mwingine zaidi yake.

Siku zikapita, kuna siku moja alinipigia simu majira ya saa moja usiku na kuomba nikaonane naye, sikuwa na wasiwasi nilifunga safari hadi nyumbani kwake.

Tuliendelea na mazungumzo ya kawaida ikafika sehemu akaniambia kuwa ana hamu ya kufanya mapenzi na mimi, kwa kuwa nilimpenda sikukataa, nikamkubalia tukaingia kwenye uwanja wa masumbwi.

Lakini tangu siku hiyo nilipompa penzi langu mara moja akawa haeleweki, kila nikimtafuta anasema yuko bize hata kama nikimwambia nina hamu ya kukutana naye faragha anasema kuwa nisubiri kwanza yeye yuko bize akipata nafasi atanitafuta.

Naombeni ushauri nifanyeje
Inawezekana uchi wako siyo mzuri, either unatoa harufu, au alikuta shimo ambalo halina ladha kabisa, kuna wanawake unaweza waona2kwa nje wazuri sana lakini wanaume wakionja tu hawarudi tena.
 
Ok niivi , Linapokuja suala la ngono, kwa mwanaume, ukiachilia ngono ya kununua demu ,hapo atafanya mara moja na kupotezea.

Ila ngono ya mitongozano kama hiyo, sio rahisi ale mara moja nakusepa.SIO RAHIS regardless wewe ni Mzur, mbaya, msafi,mchafu,unakata mauno au Lah.

NINACHOKUSIKITIKIA NIKWAMBA ULIFANYA NGONO BILA KINGA !!! ILI NDIO PEKEE NALOKUSIKITIKIA.

NA Ukikaa vibaya tena, humuhumu utaliwa nakupigwa chini.
 
Hizi ndiyo nyuzi mnazotaka kuziona baadhi ya wanaume wa JF, za wanaume kupiga na kusepa basi ndiyo mnafurahi wenyewe ila nyuzi za wanawake kutapeli nauli za wanaume hamtaki kuziona na zinawatoa mapovu.
Ongeza sauti na huku nyuma tuskie!

Kwamba nyie ni wakupiga na kusepa?
IMG_20190825_163321.jpeg
 
Haya
Marupurupu muhimu ili kupunguza hashiki za nyege. Ni kama vile mfanyakazi anayesubiri mshahara mwisho wa mwezi likitokea rupurupu hapa katikati analala nalo ili kupunguza stress za kifedha wakati akiendelea na kazi kwa ajili ya mshahara.
 
😎😎
si ushasikia kwa Diamond,ifinyie kwa ndani??basi ana maana ukiona maumbile yako ni makubwa wakati wa ku do unabana na kuachia kibibi kama wanavyofanya kwenye kegel exercise (Google)...lol...
 
Mimi ni binti nina miaka 24, nilikuwa na mahusiano ya kirafiki na kaka mmoja ambaye ni mfanyakazi wa benki moja hivi, baadaye tukawa wapenzi, akaniuliza kama nampenda kwa dhati au nina mtu mwingine, nilimjibu kuwa sina mtu mwingine zaidi yake.

Siku zikapita, kuna siku moja alinipigia simu majira ya saa moja usiku na kuomba nikaonane naye, sikuwa na wasiwasi nilifunga safari hadi nyumbani kwake.

Tuliendelea na mazungumzo ya kawaida ikafika sehemu akaniambia kuwa ana hamu ya kufanya mapenzi na mimi, kwa kuwa nilimpenda sikukataa, nikamkubalia tukaingia kwenye uwanja wa masumbwi.

Lakini tangu siku hiyo nilipompa penzi langu mara moja akawa haeleweki, kila nikimtafuta anasema yuko bize hata kama nikimwambia nina hamu ya kukutana naye faragha anasema kuwa nisubiri kwanza yeye yuko bize akipata nafasi atanitafuta.

Naombeni ushauri nifanyeje
Kama chini sio Mtela, Basi Kuna ka smell ka panya mfu
 
Ukome! Mimi mwenyewe nilishawahi kumpa dada mmoja penzi kisha akaniacha!
 
Back
Top Bottom