Amebadilika baada ya kumpa penzi

Amebadilika baada ya kumpa penzi

Mimi ni binti nina miaka 24, nilikuwa na mahusiano ya kirafiki na kaka mmoja ambaye ni mfanyakazi wa benki moja hivi, baadaye tukawa wapenzi, akaniuliza kama nampenda kwa dhati au nina mtu mwingine, nilimjibu kuwa sina mtu mwingine zaidi yake.

Siku zikapita, kuna siku moja alinipigia simu majira ya saa moja usiku na kuomba nikaonane naye, sikuwa na wasiwasi nilifunga safari hadi nyumbani kwake.

Tuliendelea na mazungumzo ya kawaida ikafika sehemu akaniambia kuwa ana hamu ya kufanya mapenzi na mimi, kwa kuwa nilimpenda sikukataa, nikamkubalia tukaingia kwenye uwanja wa masumbwi.

Lakini tangu siku hiyo nilipompa penzi langu mara moja akawa haeleweki, kila nikimtafuta anasema yuko bize hata kama nikimwambia nina hamu ya kukutana naye faragha anasema kuwa nisubiri kwanza yeye yuko bize akipata nafasi atanitafuta.

Naombeni ushauri nifanyeje
Achana nae
 
Kuchelewa kumpa mtu tendo kunachangia. Unafukuzia miezi, anakuja anakubali lakini anakurusha rusha mwisho unaamua tu huyu siku nikimmega atanisikia kwenye bomba.
 
Pole usiumize sana kichwa maji yakishamwagika hayazoleki inabidi ukubaliane na hali maisha yaendelee.
 
Imeisha hiyooo,,,,,,,Baharia sio watu wazuri washapita na Airtel. Kaa kininja wewe la sivyo utaliwa sana.
 
chadema sijui wanatupeleka wapi 😝
CCM nao ni shida sana mpaka ndege imekamatwa kwasababu ya ufisadi wao. Nyingine inasubiriwa London. Ikitua Symbian wanachukua chao. Bado mchina naye anasubiri pesa zake za marejesho ya mkopo. Tembea kifua mbele CCM ni ile ile haiwezi kubadilika. Wakulima wakorosho nao wametapeliwa na CCM
 
Sisi wanaume tukipenda huwa tunataka wapenzi wetu tuwe nao muda wote. Na huwa hatukatai K kwa mwanamke tunayempenda hata kama yupo China huwa tunatuma nauli aje. Kama umeomba mpaka gemu kagoma. Hapo hauna chako na ukimlazimisha sana mwisho wa siku atakuzalisha na kukuacha. HAPO HAKUNA MAPENZI
 
Back
Top Bottom