Amebadilika baada ya kumpa penzi

Amebadilika baada ya kumpa penzi

Msifanye kile msichopenda kufanyiwa maana mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu
Huo ni utaratibu wa kawaida kwa sisi wanaume. Kwa mtu muelewa hakupaswa kushangaa labda kama huyo jamaa alikuwa mtu wako wa kwanza kula ngozi.
 
Nyapu chafu
Nyapu baridi kama barafu
Hujui kujiongeza kwa bed
Vizinga vingi

Shobo zimekuzidiz coz unahisi ndio husband material sababu ya yeyw kufanya kazi bank,kumbe alikuwa anataka alifungue tu papa aliscrach kama DJ zero
 
Je ulizungusha mauno kama feni bovu au kombeo?, ama ulitulia tulii ,pole huenda yuko busy kweli ila ukihisi anakupotezea ,huna budi kumove on pia ,utampata mwingine
 
Sasa kwanini ayapate kama hana mpango nayo?
Marupurupu muhimu ili kupunguza hashiki za nyege. Ni kama vile mfanyakazi anayesubiri mshahara mwisho wa mwezi likitokea rupurupu hapa katikati analala nalo ili kupunguza stress za kifedha wakati akiendelea na kazi kwa ajili ya mshahara.
 
K ya mafungu mwamba hajaielewa,jiongeze!
Mimi ni binti nina miaka 24, nilikuwa na mahusiano ya kirafiki na kaka mmoja ambaye ni mfanyakazi wa benki moja hivi, baadaye tukawa wapenzi, akaniuliza kama nampenda kwa dhati au nina mtu mwingine, nilimjibu kuwa sina mtu mwingine zaidi yake.

Siku zikapita, kuna siku moja alinipigia simu majira ya saa moja usiku na kuomba nikaonane naye, sikuwa na wasiwasi nilifunga safari hadi nyumbani kwake.

Tuliendelea na mazungumzo ya kawaida ikafika sehemu akaniambia kuwa ana hamu ya kufanya mapenzi na mimi, kwa kuwa nilimpenda sikukataa, nikamkubalia tukaingia kwenye uwanja wa masumbwi.

Lakini tangu siku hiyo nilipompa penzi langu mara moja akawa haeleweki, kila nikimtafuta anasema yuko bize hata kama nikimwambia nina hamu ya kukutana naye faragha anasema kuwa nisubiri kwanza yeye yuko bize akipata nafasi atanitafuta.

Naombeni ushauri nifanyeje
 
Hizi ndiyo nyuzi mnazotaka kuziona baadhi ya wanaume wa JF, za wanaume kupiga na kusepa basi ndiyo mnafurahi wenyewe ila nyuzi za wanawake kutapeli nauli za wanaume hamtaki kuziona na zinawatoa mapovu.
😂😂😂 baharia kafanya yake! Sio kila siku mtupige dafrau tu
 
Hizi ndiyo nyuzi mnazotaka kuziona baadhi ya wanaume wa JF, za wanaume kupiga na kusepa basi ndiyo mnafurahi wenyewe ila nyuzi za wanawake kutapeli nauli za wanaume hamtaki kuziona na zinawatoa mapovu.

😂😂😂 baharia kafanya yake! Sio kila siku nyie ndio mtupige dafrau tu!
 
Back
Top Bottom