Amebadilika baada ya kumpa penzi

Amebadilika baada ya kumpa penzi

Unaonekana we fundi wa kufinyia sio kwa maelezo hayo
😎😎
si ushasikia kwa Diamond,ifinyie kwa ndani??basi ana maana ukiona maumbile yako ni makubwa wakati wa ku do unabana na kuachia kibibi kama wanavyofanya kwenye kegel exercise (Google)...lol...
 
eat and run inaitwa

nipe namba yako uje kansan kwangu nikuombee utoe nuksi..
 
Binafsi mimi ukinikubali siwezi kukuona fala, sema muendelezo wa mahusiano yetu ndio utanionesha kuwa wewe ni fara au sio fara!
Kama tukiwakubali mnatuona mafala kwanini mtuombe??
 
Sidhani kama jamaa amempotezea sababu harufu sijui shoo mbovu sijui mauno...huyo jamaa ni dizaini ya wale play boy wale hit and run. Dada we kubali tu kuwa jamaa alihitaji akugonge tu sio alitaka ajiweke kwako. Tupo wengi tu dizaini hiyo haturudii game kwa mtu uliyekwishapitaga na huna mipango nae.
 
Utaonyesha kuwa mwanamke tu ndiyo fara au yaweza kuwa hata mwanaume pia??
Binafsi mimi ukinikubali siwezi kukuona fala, sema muendelezo wa mahusiano yetu ndio utanionesha kuwa wewe ni fara au sio fara!
 
Mimi ni binti nina miaka 24, nilikuwa na mahusiano ya kirafiki na kaka mmoja ambaye ni mfanyakazi wa benki moja hivi, baadaye tukawa wapenzi, akaniuliza kama nampenda kwa dhati au nina mtu mwingine, nilimjibu kuwa sina mtu mwingine zaidi yake.

Siku zikapita, kuna siku moja alinipigia simu majira ya saa moja usiku na kuomba nikaonane naye, sikuwa na wasiwasi nilifunga safari hadi nyumbani kwake.

Tuliendelea na mazungumzo ya kawaida ikafika sehemu akaniambia kuwa ana hamu ya kufanya mapenzi na mimi, kwa kuwa nilimpenda sikukataa, nikamkubalia tukaingia kwenye uwanja wa masumbwi.

Lakini tangu siku hiyo nilipompa penzi langu mara moja akawa haeleweki, kila nikimtafuta anasema yuko bize hata kama nikimwambia nina hamu ya kukutana naye faragha anasema kuwa nisubiri kwanza yeye yuko bize akipata nafasi atanitafuta.

Naombeni ushauri nifanyeje
Kapime kwanza HIV ndio mjadala uendelee
 
Back
Top Bottom