HahahaaaMbona nyie mnalia vibamia ?Iyo haifutiki watu washainote
Pole sana. Umejichunguza vizuri?
Huenda una tatizo mahali hujaligundua.
Alivyokudhania kakuta sivyo.
Sio lazima yeye awe na tatizo, inawezekana jamaa kamuona fundi sana Agness kwa umri wake sasa ana mgwaya. Agness wewe endelea na mambo yako huyo bank teller achana nae wanakuwaga wachovu kwa kazi zao za kuhesabu hela za watu, kaogopa mizinga.
Mimi ni binti nina miaka 24, nilikuwa na mahusiano ya kirafiki na kaka mmoja ambaye ni mfanyakazi wa benki moja hivi, baadaye tukawa wapenzi, akaniuliza kama nampenda kwa dhati au nina mtu mwingine, nilimjibu kuwa sina mtu mwingine zaidi yake.
Siku zikapita, kuna siku moja alinipigia simu majira ya saa moja usiku na kuomba nikaonane naye, sikuwa na wasiwasi nilifunga safari hadi nyumbani kwake.
Tuliendelea na mazungumzo ya kawaida ikafika sehemu akaniambia kuwa ana hamu ya kufanya mapenzi na mimi, kwa kuwa nilimpenda sikukataa, nikamkubalia tukaingia kwenye uwanja wa masumbwi.
Lakini tangu siku hiyo nilipompa penzi langu mara moja akawa haeleweki, kila nikimtafuta anasema yuko bize hata kama nikimwambia nina hamu ya kukutana naye faragha anasema kuwa nisubiri kwanza yeye yuko bize akipata nafasi atanitafuta.
Naombeni ushauri nifanyeje
We jamaa umenifanya nicheke tuTangu lini mvuvi akampa chambo samaki aliyemvua tayari. Hata wewe ungeweza?
povu mbona linakutoka uo ndio ukwel nywere mnakaa nazo muda mrefu kwanini isinukeWe naye una akili kama za huyo kwenye avatar yako
Rafiki tuunde chama cha kutetea wanawake!
Mkiambiwa muwe wasafi mnanuna na kupanic... Matokeo yake ndio ayo.
Na sisi tutakuwa tunatest tu hvyo hvyo.. Tukikosa tunachokitaka tunasepa....
Hatufanani mkuu na haitokaa iwe hvyo, kwahiyo kwa hali kama hii unataka kuhalalisha uovu uendelee? Haiwez kuwa hvyo kwa sababu ya wachache.
trust me. KUM+MA yako INANUKA , au mdomo, nishawai mpotezea dem kwa sababu iyoiyo,
angalia ku ma yako vizuri
huo ndo ukweli
na iyo harufu haitamuondoka kichwani mwake mpaka ipite miezi 6
Kabisa. Naona huu uzi wanafurahia sana ila wakipigwa hata buku huko wanaleta uzi. Shubaamit
hakuna nyingine, Ariana GrandeKwahiyo wanaume wote wanawakimbia wanawake kwa sababu hiyo tu hakuna nyingine?