Ameamua kuni unfriend mpaka kwenye fecebook

Ameamua kuni unfriend mpaka kwenye fecebook

Ni msichana niliyeishi nae miezi kama 7 tulikua tunaishi poa tu badae kulitokea kutoelewana tukaishi mbali na mbali lakini kwakua nilikua nampenda sana nilimsihi na kujishusha yaishe, lakini yeye alikaza nikatumia mpaka rafiki zake wakimwambia kuhusu mimi hataki hata kuwasikiliza, nikimpigia simu hapokei nikimwamdikia sms hajibu.

Nikakaa kama miezi mitatu nikajaribu kumcheki na kumwambia naenda kumsalimia akanimkasirikia sana sana fecebook alikua rafiki, lakini naona juzi kaniunfriend sijui hata nifanyenini? Hivyi huyu tunaweza kurudiana kweli au nikomae kivyangu.

Ingawa roho inauma na nampenda sana na kwanini kaniunfriend? Ndio najiuliza wakati marafiki zangu wote bado rafiki zake na akiongea nao wanaitana shemeji ingawa wakimwambia kuhusu mimi anawachenjia.

........Ndo ushapigwa chini bro au unataka ujikurunzinze:tonguez:😱:teeth:
 
acha nanae rafiki yangu fanya kazi kwa bidii mapenzi yatakuja tuuu hata baadae
 
Miezi mitano tu haitoshi kufahamiana na kuishi pamoja.Mnaanzaje kwanza hamjaoana?
Amegundua huna future na yeye ndo mana unaishi nae bila ndoa
 
Nina 29 now mkuu tulifahamia kwa mda wa miezi mi tano honestly

Pole sana Kijana!!ila kwa huo umri wako nakushauri usipoteze muda na mabinti wasiojielewa mdogo wangu. Jibu liko open tayari uyo amashajishikiza mahali, move On utafute mke wa maana achana nae atakuja kukupa headache.
 

Attachments

  • 1434108347254.jpg
    1434108347254.jpg
    9.6 KB · Views: 149

Similar Discussions

Back
Top Bottom