Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,808
- 110,047
Do not jurge book through its cover mkuu
Una asili ya ujerumani?
Do not jurge book through its cover mkuu
We Luckyline ebu toq ushauri apo mama angu tufanyeje ishakua maji ya shingo ujue
Haiwezekani mtu mzima na akili zake akaleta uzi kama huu, wewe ni mtoto ndio maana kakupa ushauri mzuri tu
hapana si mtoto namjua na si unajua mm napondaga vitoto? Yuko poa tu basi yamemkuta kachanganyikiwa. Embu nitafte nimpe ushauri zaidi
Madam kama mtu hayajampata anaweza akakuona wewe huna akiri lakini daaah kiukweli najihisi kama siko sawa ila kabisaa nawashukuru wote kwa mchango wao wa kimawazo
achana nae bwana kwani anakojoa madini ya tanzanite?? Ntakuunganishia mtoto mkali ili tumkomeshe hupo mashauzi
Kua na Adabu basii wewe unadhani kila mtu ni mtoto mkuu hapa shauri kama huwezi pita tuu
usikasirikie watu humu..uzi wako ndio unaokufanya tukuone mwanafunzi..baba mzima huwezi uliza mambo kama hayo.
hahahaaa poa kaka
Mbona unalialia!
Kwani huwezi ishi mwenyewe bila yeye?
Ndorooobo yeye hebu mvungie na wewe jifanye na wewe umemzira. Usimuulizie wala nin wala cha sms wala cha kumpigia hadi marafiki zake wakaushie afu baada ya 2weeks njoo hapa toa jibu. Hapo unampa kibur mana anajua unapenda mzee ndo sababu.