Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,588 Reaction score 74,418 May 13, 2019 #101 Kupanga Ni Kuchagua
E EFUMBUKA Senior Member Joined Mar 28, 2016 Posts 121 Reaction score 70 May 13, 2019 #102 Fanya mambo ya maana kuliko hilo kwani hakuna faida unayopata isipokuwa aibu tupu !
Ushirombo JF-Expert Member Joined Jan 22, 2013 Posts 3,558 Reaction score 2,714 May 13, 2019 Thread starter #103 Masankuloni haaaaah haaaah bCg said: Huyo mtu aliyefanya hivyo ni wa ushirombo IPI? Igulwa/katente?maganzo? Masakuloni? Bulangwa? au mtaa gani? tuanzie kwanza hapo. Click to expand...
Masankuloni haaaaah haaaah bCg said: Huyo mtu aliyefanya hivyo ni wa ushirombo IPI? Igulwa/katente?maganzo? Masakuloni? Bulangwa? au mtaa gani? tuanzie kwanza hapo. Click to expand...
infinix JF-Expert Member Joined Sep 6, 2018 Posts 2,092 Reaction score 2,150 May 13, 2019 #104 Joblee said: Hack mtu ambaye unauwezo wa kuachana naye... Unahack halafu ukifumania huna la kufanya... Alichokitafuta kashakipata, atulie dawa imuingie Click to expand... Asipate taabu,arudi nyumbani anitafute nitoke naye,hatakuwa na maumivu ya moyo kwani nitatumia akili na maarifa yangu yote iku kumweka sawa
Joblee said: Hack mtu ambaye unauwezo wa kuachana naye... Unahack halafu ukifumania huna la kufanya... Alichokitafuta kashakipata, atulie dawa imuingie Click to expand... Asipate taabu,arudi nyumbani anitafute nitoke naye,hatakuwa na maumivu ya moyo kwani nitatumia akili na maarifa yangu yote iku kumweka sawa
Qurie JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 3,645 Reaction score 3,890 May 13, 2019 #105 Asprin said: Unaenda kufumania afu unaomba ushauri wa hatua za kuchukua? Click to expand... Ndio.... SI ndo maana Kuna mambumbumbi
Asprin said: Unaenda kufumania afu unaomba ushauri wa hatua za kuchukua? Click to expand... Ndio.... SI ndo maana Kuna mambumbumbi
Qurie JF-Expert Member Joined Aug 9, 2015 Posts 3,645 Reaction score 3,890 May 13, 2019 #106 Meeyah said: Mwe! Halafu ubavu wa kumuacha hana Click to expand... Hahahaha na kweli kumuacha hawezi ndo maana anajitia kuomba ushauri.... Angekua anauwezo wakumuacha hata ushaur asingeomba
Meeyah said: Mwe! Halafu ubavu wa kumuacha hana Click to expand... Hahahaha na kweli kumuacha hawezi ndo maana anajitia kuomba ushauri.... Angekua anauwezo wakumuacha hata ushaur asingeomba