Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
Zigo..by AyKila mmoja abebe mzigo wake loh
Amehack simu ya mumewe kwenye msg na calls,mume kasafiri huko akaenda kupata kadem, mke akasafiri takribani 1000km akawashike,good enough kawakamata lakin hajafanya fujo ,zaidi sasa anaomba ushauri amuache au
Dunia inavijimambo
Na yeye atafute bwana, kwani sh ngapi kuleteana maradhi ndani?
Utamuweza shem ?Amuache sisi tumchukue
Binafsi nina hamu ya kuhack simu ya mtu, Nina hamu ya kufukunyua mamboHahahhaa le madame herself....
Binafsi nina hamu ya kuhack simu ya mtu, Nina hamu ya kufukunyua mambo
Natafuta ugomvi nimeumisskumbe na ww mtoto hvyo?unakosa nn ss ww
π π π unayaweza...sema umemis kuzurura wwππ...ukifanya timbwili njoo huku tuishi ππNatafuta ugomvi nimeumiss
Kweli nimemiss safari πππ π π unayaweza...sema umemis kuzurura wwππ...ukifanya timbwili njoo huku tuishi ππ
π·π·π·π·πKweli nimemiss safari ππ
Ha haa maninaaa toa hiyo biringanya hapoπ·π·π·π·π
πππππImejitype tu jaman π kwann nistoe emoji hii nyingine iwe biribganya tuπππππππππππ¨π¨π¨ππππππ₯π₯π₯π₯π₯π₯πππHa haa maninaaa toa hiyo biringanya hapo
Halafu mwenzio am in love..yaani ile in love haswaaaaaa, basi nateseka vibaya mno. Nipe pole!πππππImejitype tu jaman π kwann nistoe emoji hii nyingine iwe biribganya tuπππππππππππ¨π¨π¨ππππππ₯π₯π₯π₯π₯π₯πππ
Ww ukimfumania mumeo utamuacha! ...be honest pls..Hizo ndoa ziliisha kipindi cha Mwinyi my dear...kutishana tishana km watoto waodog haipo hyo...khaa...yaan ufanye fyongo eti niogope kisa mtamchukuaπππ..pyee
huna ubavu weweShauri lako tutambeba sie [emoji3][emoji3][emoji3]
Halafu mwenzio am in love..yaani ile in love haswaaaaaa, basi nateseka vibaya mno. Nipe pole!
nani amchujue sasa?[emoji23][emoji23] Wewe nimekushindwa, nakugawa bureeee