Kuna watu wana muda wa kupoteza eeeeYaani katoka dar hadi shinyanga kwenda kufumania, dunia ina mambo hii. Niache kula ugali wangu na bamia eti naenda kufumania [emoji28][emoji28][emoji28]
Inawezekana kabisaaaa.... Kuna wanawake wanatoka mpaka nje ya nchi ili kwenda tuu kifumaniaHii chai umeiamini??? Yaani km 1000 kabisaaa?
Mwe! Halafu ubavu wa kumuacha hanaInawezekana kabisaaaa.... Kuna wanawake wanatoka mpaka nje ya nchi ili kwenda tuu kifumania
Unaenda kufumania afu unaomba ushauri wa hatua za kuchukua?Inawezekana kabisaaaa.... Kuna wanawake wanatoka mpaka nje ya nchi ili kwenda tuu kifumania
Hizo ndoa ziliisha kipindi cha Mwinyi my dear...kutishana tishana km watoto waodog haipo hyo...khaa...yaan ufanye fyongo eti niogope kisa mtamchukuaπππ..pyeeAmuache sisi tumchukue
Shauri lako tutambeba sie πππHizo ndoa ziliisha kipindi cha Mwinyi my dear...kutishana tishana km watoto waodog haipo hyo...khaa...yaan ufanye fyongo eti niogope kisa mtamchukuaπππ..pyee
Shauri lako tutambeba sie πππ
ππ Wewe nimekushindwa, nakugawa bureeeeMtu mzima sitishiwi Nyau mie
Ni mpunbavu tu,kwani wakati anadukua simu ya mumewe,aliomba ushauri kwa naniAmehack simu ya mumewe kwenye msg na calls,mume kasafiri huko akaenda kupata kadem, mke akasafiri takribani 1000km akawashike,good enough kawakamata lakin hajafanya fujo ,zaidi sasa anaomba ushauri amuache au
Dunia inavijimambo
ππ Wewe nimekushindwa, nakugawa bureeee
Inafika kipindi hujali lolote..achat usiku wa manane sawa, arudi late kila siku.. very good, sometimes unajisemea ahh si alale tu huko huko! I feel happy nikiwa alone..sijui nimerogwa aah!Bwana kuna mambo mengi ya kufanya...sotakuja fumania mtu mm ..khaa..huo muda si bora umfundishe mtoto kusoma na kuandkkaπ¨π¨π¨
Inafika kipindi hujali lolote..achat usiku wa manane sawa, arudi late kila siku.. very good, sometimes unajisemea ahh si alale tu huko huko! I feel happy nikiwa alone..sijui nimerogwa aah!
Natamani atokee wa kumbeba aende naeHahaa alafu atokee mtu anitishe atanichukulia mumeπππ
Natamani atokee wa kumbeba aende nae
Huyu hata wiki hukai nae, namuweza mie tuHahaahha....!nipΓ¨ mm basi nikae naye huku...ππ..atanidundaje kivuruge mmπππ¨π¨π¨
Huyu hata wiki hukai nae, namuweza mie tu
Kila mmoja abebe mzigo wake lohNajuagaππ....kazi tunayo sie wanawake...ht mm wangu ww naamini hutamuweza kbs....chaa