Ambao hawakumuona Mwl. Nyerere, wamemuona Dkt. Magufuli

Mama tunae mpaka 2030,akifuatiwa na Hussein Mwinyi mpaka 2040 na Mbowe au Lissu makamu ndani ya serikali mseto na katiba mpya, 2060 CHADEMA full!
Utakuwa ushapotea!
Nakuweka sawa, kikatiba mama 2025 ndio anaanza 10 yake, akimaliza tunampa mitano ya shukrani mpaka 2040, hawa mapakashume watasubiri sana.

Note: nchi hii haitokabidhiwa tena kwa kichaa, Watanzania wote bila kujari vyama tumejifunza hilo.
 
Kwa kweli, na ata lile kabila lagnu la wengi uku kwetu kanda ya ziwa pia ni shida tupu.

Ata wakisema nimewasaliti lakini ukweli ni kwamba wametuaibisha sana kwa umbukeni na ushamba uliosababisha uchumi kuharibika!

Msukuma bhana kaona hela bank kuu akajua zote zake!😂😂
 
Nakuweka sawa, kikatiba mama 2025 ndio anaanza 10 yake, akimaliza tunampa mitano ya shukrani mpaka 2040, hawa mapakashume watasubiri sana.

Note: nchi hii haitokabidhiwa tena kwa kichaa, Watanzania wote bila kujari vyama tumejifunza hilo.
Alafu kau edit huyo mjamaa wako, sijui kaogopa kivuli chake? 😂😂😂

Nitawaalika kwenye kiapo changu!
 
Kesho tarehe 14/10/2021 ni kumbukizi ya Miaka 22, tangia kuondokewa na Baba wa Taifa letu, Mwl. Julius Kambarage Nyerere.

Vijana wengi wa sasa hatukubahatika kumuona Mwl. Nyerere Bali tunamsoma tu vitabuni na kuskia masimulizi kumhusu.

Mfano:

1. Kwamba Mwl. Nyerere alipigania Uhuru wa Taifa letu

2. Kwamba Mwl. Nyerere hakutaka wazungu watuibie madini yetu na rasilimali zinginezo

3. Kwamba Mwl. Nyerere alitoa Elimu bure kwa watanzania kuanzia msingi hadi sekondari

4. Kwamba Mwl. Nyerere alijenga miundo mbinu ya reli, bandari na Barabara

5. Kwamba Mwl. Nyerere alianzisha mashirika ya Umma kama Air Tanzania, TRC, Tazara n.k

6. Kwamba Mwalimu Nyerere hakuwa na aibu kwa mafisadi wala wahujumu uchumi wa Taifa hili

7. Kwamba Mwl. Nyerere hakuwa tayari kutii maagizo ya Mabeberu.

8. Kwamba Mwalimu Nyerere ni Mzalendo aliyekuwa tayari kufa kwaajili ya Taifa lake.

Mambo hayo mazito, kuna vijana wanaodhani kwamba ni porojo, hayakufanyika na hakuna Mtanzania awezaye kuwatenda.

Tunapoadhimisha miaka 22 tangia kumpoteza Mzalendo wetu, ni dhahiri kwamba Mheshimiwa Hayati JPM ndiye Nyerere wa zama zetu.

Kama JPM ameweza kufufua mashirika ya umma, kukomesha wizi wa madini, kupitia upya mikataba ya madini, kuzuia hujuma ktk miradi ya umeme, kuhuisha reli ya kati na Tazara, kununua meli mpya, vivuko na ndege, kukomesha ujangili wa tembo, kutumbua mafisadi, kukataa maagizo ya mabeberu.

Ni Faraja kwamba Matendo ya Nyerere na Magufuli ni fundisho kwetu kuwa wazalendo, wachapa kazi na kuutetea Uhuru na kulinda rasilimali za Taifa.

Nawatakia Kumbukizi njema yenye Tafakuri kwetu

Unamaana hata kinna Severine Niwemugizi hawakumuona Nyerere au Jiwe?

Niwemugizi: Nyerere angekuwapo angewacharaza CCM viboko

Hiiiiii bagosha!
 
Stupid
 
Acha uongo, Nyerere elimu ilikuwa bure kuanzia msingi mpaka chuo kikuu!Hata JPM ni mnufaika wa elimu bure ya mwalimu Nyerere!
Nyerere aliwaunganisha watanzania wote,ila huyo uliyemtaja alifanya kazi kubwa kubomoa umoja wa kitaifa!

Nyerere alichukia sana ukabila, huyo uliyemtaja aliichukia sana kanda fulani!

NB: Usimfananishe Nyerere na vitu vya ajabu!
Kanda ya wapiga dili, hata wewe, usingeipenda,
 
Sawa na Idd Amin ambae nae kaacha alama za mauaji,shame!

Sukuma gang bado hawajaamini kuwa mwenzao tayari kaoza na kaacha amewapaka madoa machafu na ya kudumu
Kilichofanyia Leo Chato, ni ujumbe tosha kwamba, Nyerere wa Zama zetu ni JPM
 
Mambo usioyajua kuhusu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Sasa wacha nikufahamishe;-

1.Alizaliwa tarehe 13/04/1922 Butiama na kufariki tarehe 14/10/1999 kule London.Ni Raisi wa kwanza Afrika kuachia madaraka kwa hiari yake mwenyewe.

2.Ni Raisi wa kwanza kuhama Ikulu na kwenda kuishi kwenye nyumba aliyoijenga kwa mkopo akiwa bado Raisi.

3.Ni kati ya Raisi aliyekuwa analipwa mshahara mdogo duniani na pengine kati ya raisi aliyewahi kulipwa mshahara mdogo barani Afrika mpaka sasa.

4. Ni Mtanganyika wa kwanza kusoma chuo kikuu nchini Uingereza na Muafrika wa pili kupata Degree nje ya Afrika, akisomea English, Political Economy, Social Anthropology, British History, Economic History, Constitutional Law, and Moral Philosophy.

5. Ni kiongozi aliyeisaidia China kuingia Umoja wa Mataifa na hotuba yake maarufu akisema
kwamba,"Umoja wa Mataifa si serikali ya dunia bali ni sehemu ambayo dunia nzima inakutana,
kwahiyo kumtoa China katika umoja wa mataifa ni kumtoa kuwa sehemu ya dunia".

6. Ndio mwanzilishi wa harakati za kupinga ubaguzi wa rangi Afrika ya Kusini- Anti Apartheid Movement mwaka 1959 pamoja na Trevor Huddleston nchini Uingereza.

7. Ni mmoja kati ya waanzilishi wa Umoja wa Afrika, 1963.

8. Amezisaidia nchi nyingi za Afrika kupata uhuru kuliko mtu mwingine yoyote katika historia ya ukoloni, nchi hizo ni Zambia (1964), Malawi (1964), Botswana (1966), Lesotho (1966), Mauritius (1968), Swaziland (1968) and Seychelles (1976) na baadae 1975 (Mozambique), (Angola), 1980 (Zimbabwe), 1990
(Namibia) na 1994 (South Africa).

9. Mwaka 2009 alitajwa na raisi wa mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa kama "World Hero of Social Justice".

10. Amepokea shahada mbalimbali kutoka, University of Edinburgh (UK), Duquesne University (USA), University of Cairo (Egypt), University of Nigeria (Nigeria), University of Ibadan (Nigeria), University of Liberia (Liberia), University of Toronto (Canada), Howard University (USA), Jawaharlal Nehru University (India), University of Havana (Cuba), National University of Lesotho, University of the Philippines, Fort Hare University (South Africa),Sokoine University of Agriculture (Tanzania), and Lincoln University (PA, USA).

11. Alipokea Tuzo ya Order of José Marti Cuba 1975, Order of the Aztec Eagle (Collar) Mexico 1975, Order of Amílcar Cabral Guinea Bissau 1976, the Nehru Award for International Understanding in 1976, the Third World Prize in 1982, Order of Eduardo Mondlane
Mozambique 1983, the Nansen Medal for outstanding services to Refugees in 1983, Order of Agostinho Neto Angola 1985, Sir Seretse Khama SADC Medal 1986, Joliot-Curie Medal of Peace 1988, the Lenin Peace Prize in 1987, the International Simón Bolívar Prize in
1992, and the Gandhi Peace Prize in 1995, Statesman of the 20th century by the Chama Cha Mapinduzi 2000, Order of the Companions of O. R. Tambo (Gold) South Africa 2004, Royal Order of Munhumutapa Zimbabwe 2005, Most Excellent Order of the Pearl of Africa (Grand Master) Uganda 2005, Order of Katonga Uganda 2005, National Liberation Medal Rwanda 2009, National Liberation Medal Rwanda 2009, Campaign Against Genocide Medal Rwanda 2009, Order of the Most Ancient Welwitschi Mirabilis Namibia 2010, Tanzania Professional Network Award 2011, Order of Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Tanzania 2011, National Order of the Republic (Grand Cordon) Burundi 2012 and Order of Jamaica, Jamaica.

12. Mwaka 2007 Rais Yoweri Museveni wa Uganda alimpa tuzo ya Katongo, Medali ya juu kuliko zote ya Jeshi la Uganda kwa heshima ya upinzani wake dhidi ya ukoloni na serikali ya Idi Amin.

13. Mitaa, barabara, majengo, vituo, shule, vyuo na vitu vilivyopewa jina lake; Daraja la Nyerere Kigamboni,Julius Nyerere University of Kankan, in Kankan, Guinea, Nyerere Drive,Gaborone (1.6 km) in Botswana, Nyerere Avenue, Mombasa (1.5 km)
and Nyerere Road, Kisumu (2 km) in Kenya, Julius Nyerere Street, Windhoek (1.1 km) in Namibia, Julius Nyerere Street, Durban (0.5 km) in South Africa, Nyerere Road, Kitwe (1.4 km) in Zambia, Julius Nyerere Way, Harare (1 km) in Zimbabwe, Julius Nyerere International Airport, Julius Nyerere International Convention Centre, Nyerere Day- Public Holiday 14/10, Nyerere Cup, Nyerere Road, Unguja, Zanzibar (6.5 km), Nyerere Secondary School in Mwanga District and J.K. Nyerere Secondary School in Moshi, Kilimanjaro Region, Mwalimu J. K. Nyerere Secondary School in Mbozi District, Mbeya Region, Nyerere Memorial School in Korogwe, Tanga Region, Nyerere High School Migoli in Iringa Region, Nyerere Secondary School in Unguja, Zanzibar, Mwalimu Nyerere Foundation, Mwalimu Nyerere Museum Centre and Mwalimu Nyerere Memorial Academy- Tanzania.

14. Baadhi ya vitabu alivyoviandika ni, Freedom and Unity (Uhuru na Umoja), Freedom and Socialism (Uhuru na Ujamaa), The Arusha
Declaration, Education for self-reliance, The varied paths to socialism, The purpose is man, Socialism and development, Freedom and Development (Uhuru Na Maendeleo), Ujamaa, Crusade for Liberation, Education for Self-Reliance, na Uongozi na Hatima ya Tanzania.

15. Pamoja na kujulikana kama - Baba wa Taifa la Tanzania, Nchi za Kusini mwa Afrika zinamtambua kama baba wa Ukombozi wa Nchi za Kusini.

16. Pamoja na kujua lugha ya Kiswahili na Kiingereza kwa Ufasaha - pia alikuwa akifahamu lugha ya Kigiriki na Kilatini.

17. Julius Nyerere ameandikwa kwenye kitabu cha Enyclopia kama mtu pekee duniani katika historia ya karne ya 21, aliyeweza kuwafanya watu wa makabila, dini, asili na historia tofauti kujiona kama watu wamoja.
Enclopedia ijayo inapaswa kumtambua JPM kama rais bora, mchapakazi na mzalendo
 
Acha kufananisha Baba wa Taifa na wahuni!!!

Kesho tarehe 14/10/2021 ni kumbukizi ya Miaka 22, tangia kuondokewa na Baba wa Taifa letu, Mwl. Julius Kambarage Nyerere.

Vijana wengi wa sasa hatukubahatika kumuona Mwl. Nyerere Bali tunamsoma tu vitabuni na kuskia masimulizi kumhusu.

Mfano:

1. Kwamba Mwl. Nyerere alipigania Uhuru wa Taifa letu

2. Kwamba Mwl. Nyerere hakutaka wazungu watuibie madini yetu na rasilimali zinginezo

3. Kwamba Mwl. Nyerere alitoa Elimu bure kwa watanzania kuanzia msingi hadi sekondari

4. Kwamba Mwl. Nyerere alijenga miundo mbinu ya reli, bandari na Barabara

5. Kwamba Mwl. Nyerere alianzisha mashirika ya Umma kama Air Tanzania, TRC, Tazara n.k

6. Kwamba Mwalimu Nyerere hakuwa na aibu kwa mafisadi wala wahujumu uchumi wa Taifa hili

7. Kwamba Mwl. Nyerere hakuwa tayari kutii maagizo ya Mabeberu.

8. Kwamba Mwalimu Nyerere ni Mzalendo aliyekuwa tayari kufa kwaajili ya Taifa lake.

Mambo hayo mazito, kuna vijana wanaodhani kwamba ni porojo, hayakufanyika na hakuna Mtanzania awezaye kuwatenda.

Tunapoadhimisha miaka 22 tangia kumpoteza Mzalendo wetu, ni dhahiri kwamba Mheshimiwa Hayati JPM ndiye Nyerere wa zama zetu.

Kama JPM ameweza kufufua mashirika ya umma, kukomesha wizi wa madini, kupitia upya mikataba ya madini, kuzuia hujuma ktk miradi ya umeme, kuhuisha reli ya kati na Tazara, kununua meli mpya, vivuko na ndege, kukomesha ujangili wa tembo, kutumbua mafisadi, kukataa maagizo ya mabeberu.

Ni Faraja kwamba Matendo ya Nyerere na Magufuli ni fundisho kwetu kuwa wazalendo, wachapa kazi na kuutetea Uhuru na kulinda rasilimali za Taifa.

Nawatakia Kumbukizi njema yenye Tafakuri kwetu
 
Usimlinganishe Hayati Mwl Nyerere na watu wasiofanana nae hata kwa 2% ya utendaji ,sie tuliyaona mengi aliyoyafanya kwa taifa na Africa bila ubaguzi wa kikabila wala kikanda.dont ever repeart such at stupid comparison
Huo ndio Ukweli, na maadhimisho ya Nyerere Day Leo ni ujumbe tosha kwako kwamba Nyerere wa Kizazi hiki ni JPM
 
Back
Top Bottom