Ambao hawakumuona Mwl. Nyerere, wamemuona Dkt. Magufuli

CHADEMA wakiona jina la Jiwe tumbo la kuhara linawashika wanakimbilia kupambana na Uzi.
Na aliwaweza kutoka kuwa na wabunge lukuki mpaka mmoja🤣🤣🤣
Utamuogopaje mtu alieoza tayari?

Ukianza kuogopa mfu alieoza,inabidi uende kupima akili.

Ukiona kila anaepingana na Magu ni CDM,nenda kapime akili.
 
Acheni kumfananisha Nyerere na huyo mungu wenu Ibilisi.
Tumeshaanikia maovu yake hapa Kila siku bado mnaendelea kumwabudu tu.
Haya kama una ubavu nenda TANROADS omba structure ya kipande cha barabara wakati wa upembuzi yakinifu kisha baada ya kwisha nenda kapime upana wa hiyo barabara utaona mita moja kutoka kila upande ilivyoibwa na huyo mungu wenu.
Halafu jamaa alipokuwa nyapara wa mabarabara mkandarasi kama hujampa chake kama shukrani lazima akuwekee kiwingu unyimwe tenda nyingine
ukiona mtu unamfanyia propaganda ya kumchafua alafu anaendelea kupendwa jishtukie, laiti propaganda ingekua inasaidia nadhani magufuli ndo angekua binadam anaechukiwa zaidi tanzania maana kampeni kubwa ya kumchafua ilofanywa na mafisadi, wauza ngada,wakwepa kodi, vyeti feki mpaka sasa imeangukia pua vibaya mno.
 
Magufuli alikuwa shujaaa

Ameyatimiza matakwa ya utumishi
 
Kesho tarehe 14/10/2021 ni kumbukizi ya Miaka 22, tangia kuondokewa na Baba wa Taifa letu, Mwl. Julius Kambarage Nyerere.

Vijana wengi wa sasa hatukubahatika kumuona Mwl. Nyerere Bali tunamsoma tu vitabuni na kuskia masimulizi kumhusu.

Mfano:

1. Kwamba Mwl. Nyerere alipigania Uhuru wa Taifa letu

2. Kwamba Mwl. Nyerere hakutaka wazungu watuibie madini yetu na rasilimali zinginezo

3. Kwamba Mwl. Nyerere alitoa Elimu bure kwa watanzania kuanzia msingi hadi sekondari

4. Kwamba Mwl. Nyerere alijenga miundo mbinu ya reli, bandari na Barabara

5. Kwamba Mwl. Nyerere alianzisha mashirika ya Umma kama Air Tanzania, TRC, Tazara n.k

6. Kwamba Mwalimu Nyerere hakuwa na aibu kwa mafisadi wala wahujumu uchumi wa Taifa hili

7. Kwamba Mwl. Nyerere hakuwa tayari kutii maagizo ya Mabeberu.

8. Kwamba Mwalimu Nyerere ni Mzalendo aliyekuwa tayari kufa kwaajili ya Taifa lake.

Mambo hayo mazito, kuna vijana wanaodhani kwamba ni porojo, hayakufanyika na hakuna Mtanzania awezaye kuwatenda.

Tunapoadhimisha miaka 22 tangia kumpoteza Mzalendo wetu, ni dhahiri kwamba Mheshimiwa Hayati JPM ndiye Nyerere wa zama zetu.

Kama JPM ameweza kufufua mashirika ya umma, kukomesha wizi wa madini, kupitia upya mikataba ya madini, kuzuia hujuma ktk miradi ya umeme, kuhuisha reli ya kati na Tazara, kununua meli mpya, vivuko na ndege, kukomesha ujangili wa tembo, kutumbua mafisadi, kukataa maagizo ya mabeberu.

Ni Faraja kwamba Matendo ya Nyerere na Magufuli ni fundisho kwetu kuwa wazalendo, wachapa kazi na kuutetea Uhuru na kulinda rasilimali za Taifa.

Nawatakia Kumbukizi njema yenye Tafakuri kwetu
1. Nyerere hakuwa muuaji,
2. Nyerere hakuweka ndugu zake
3. Nyrere hakuwa katili
4. Nyerere hakumpiga Lisu risasi 32

inatosha
 
Magufuli alikuwa shujaaa

Ameyatimiza matakwa ya utumishi
magufuli ni zaidi ya shujaa, kwa siasa za afrika ukiweza kuwakabili mabeberu na ukawashinda we ni zaidi ya shujaa, nyerere aliwakabili bt walipombana sana akaamua akang'atuka ili kulinda heshima yake.
 
1. Nyerere hakuwa muuaji,
2. Nyerere hakuweka ndugu zake
3. Nyrere hakuwa katili
4. Nyerere hakumpiga Lisu risasi 32

inatosha
kama huzijui siasa za tanzania ni bora ukakaa kimya kuliko kujiaibisha namna hii
 
ukiona mtu unamfanyia propaganda ya kumchafua alafu anaendelea kupendwa jishtukie, laiti propaganda ingekua inasaidia nadhani magufuli ndo angekua binadam anaechukiwa zaidi tanzania maana kampeni kubwa ya kumchafua ilofanywa na mafisadi, wauza ngada,wakwepa kodi, vyeti feki mpaka sasa imeangukia pua vibaya mno.
Hakuna anayefanya kampeni ya kumchafua, sema alivitumia vyombo vyote vya habari nchini kujinadi kwa gharama kubwa huku akiviazibu vile vilivyojaribu kusema ukweli.
Magufuli ni shetani kabisa
 
Lisu alikuwa muasi ALIKUWA ANATUMIWA NA MABEBERU
ALIDILIKI KUSHIRIKI KUSAIDIA NDEGE YETU IKAMATWE NA WAZUNGU

ALISEMA WAZUNGU TUKIWAVUNJA MIKATABA TUTAFUNGWA TUTAWALIPA ALIHONGWA ILI ALITOPOTEZE TAIFA

MIMI SIKUONA KUWA MAWAZO YAKE YALIKUWA SAHIHI KUSAIDIA WAZUNGU ILI KUTUNYANYASA NDIO MAANA ALIKIMBILIA KULE
Wewe ni polisi div IV
 
Wewe ukiwa malaika ni kweli lakini wewe ukiwa shetani yeye ni opposite yake...He has a different spirit from yours.....Ufisadi haulipi just a while tutafika tu!
Kila muuaji hana uzima ndani yake, Magufuli alikuwa muuaji, yuko jehanum
 
Kesho tarehe 14/10/2021 ni kumbukizi ya Miaka 22, tangia kuondokewa na Baba wa Taifa letu, Mwl. Julius Kambarage Nyerere.

Vijana wengi wa sasa hatukubahatika kumuona Mwl. Nyerere Bali tunamsoma tu vitabuni na kuskia masimulizi kumhusu.

Mfano:

1. Kwamba Mwl. Nyerere alipigania Uhuru wa Taifa letu

2. Kwamba Mwl. Nyerere hakutaka wazungu watuibie madini yetu na rasilimali zinginezo

3. Kwamba Mwl. Nyerere alitoa Elimu bure kwa watanzania kuanzia msingi hadi sekondari

4. Kwamba Mwl. Nyerere alijenga miundo mbinu ya reli, bandari na Barabara

5. Kwamba Mwl. Nyerere alianzisha mashirika ya Umma kama Air Tanzania, TRC, Tazara n.k

6. Kwamba Mwalimu Nyerere hakuwa na aibu kwa mafisadi wala wahujumu uchumi wa Taifa hili

7. Kwamba Mwl. Nyerere hakuwa tayari kutii maagizo ya Mabeberu.

8. Kwamba Mwalimu Nyerere ni Mzalendo aliyekuwa tayari kufa kwaajili ya Taifa lake.

Mambo hayo mazito, kuna vijana wanaodhani kwamba ni porojo, hayakufanyika na hakuna Mtanzania awezaye kuwatenda.

Tunapoadhimisha miaka 22 tangia kumpoteza Mzalendo wetu, ni dhahiri kwamba Mheshimiwa Hayati JPM ndiye Nyerere wa zama zetu.

Kama JPM ameweza kufufua mashirika ya umma, kukomesha wizi wa madini, kupitia upya mikataba ya madini, kuzuia hujuma ktk miradi ya umeme, kuhuisha reli ya kati na Tazara, kununua meli mpya, vivuko na ndege, kukomesha ujangili wa tembo, kutumbua mafisadi, kukataa maagizo ya mabeberu.

Ni Faraja kwamba Matendo ya Nyerere na Magufuli ni fundisho kwetu kuwa wazalendo, wachapa kazi na kuutetea Uhuru na kulinda rasilimali za Taifa.

Nawatakia Kumbukizi njema yenye Tafakuri kwetu
Hapo anafananishwa malaika na shetani.
 
Hakuna anayefanya kampeni ya kumchafua, sema alivitumia vyombo vyote vya habari nchini kujinadi kwa gharama kubwa huku akiviazibu vile vilivyojaribu kusema ukweli.
Magufuli ni shetani kabisa
mshindwe kuwa mashetani nyie wauza unga, wauza raslimali za taifa hovyo alafu alieyadhibiti hayo ndo awe shetani? endeleeni kujifariji.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Kesho tarehe 14/10/2021 ni kumbukizi ya Miaka 22, tangia kuondokewa na Baba wa Taifa letu, Mwl. Julius Kambarage Nyerere.

Vijana wengi wa sasa hatukubahatika kumuona Mwl. Nyerere Bali tunamsoma tu vitabuni na kuskia masimulizi kumhusu.

Mfano:

1. Kwamba Mwl. Nyerere alipigania Uhuru wa Taifa letu

2. Kwamba Mwl. Nyerere hakutaka wazungu watuibie madini yetu na rasilimali zinginezo

3. Kwamba Mwl. Nyerere alitoa Elimu bure kwa watanzania kuanzia msingi hadi sekondari

4. Kwamba Mwl. Nyerere alijenga miundo mbinu ya reli, bandari na Barabara

5. Kwamba Mwl. Nyerere alianzisha mashirika ya Umma kama Air Tanzania, TRC, Tazara n.k

6. Kwamba Mwalimu Nyerere hakuwa na aibu kwa mafisadi wala wahujumu uchumi wa Taifa hili

7. Kwamba Mwl. Nyerere hakuwa tayari kutii maagizo ya Mabeberu.

8. Kwamba Mwalimu Nyerere ni Mzalendo aliyekuwa tayari kufa kwaajili ya Taifa lake.

Mambo hayo mazito, kuna vijana wanaodhani kwamba ni porojo, hayakufanyika na hakuna Mtanzania awezaye kuwatenda.

Tunapoadhimisha miaka 22 tangia kumpoteza Mzalendo wetu, ni dhahiri kwamba Mheshimiwa Hayati JPM ndiye Nyerere wa zama zetu.

Kama JPM ameweza kufufua mashirika ya umma, kukomesha wizi wa madini, kupitia upya mikataba ya madini, kuzuia hujuma ktk miradi ya umeme, kuhuisha reli ya kati na Tazara, kununua meli mpya, vivuko na ndege, kukomesha ujangili wa tembo, kutumbua mafisadi, kukataa maagizo ya mabeberu.

Ni Faraja kwamba Matendo ya Nyerere na Magufuli ni fundisho kwetu kuwa wazalendo, wachapa kazi na kuutetea Uhuru na kulinda rasilimali za Taifa.

Nawatakia Kumbukizi njema yenye Tafakuri kwetu
Mzee mzima ungetengeneza timu yako kwanza ya kukusaidia dhidi ya hizi hoja. Sasa naona unashindwa hata uanzie wapi
 
Back
Top Bottom