Amazing talent...

Amazing talent...

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
14,568
Reaction score
16,922
The boy anauwezo wa kubalance 16 spoons usoni kwake bila ya kuanguka
 

Attachments

  • 1381153048568.jpg
    1381153048568.jpg
    46.7 KB · Views: 499
The boy anauwezo wa kubalance 16 spoons usoni kwake bila ya kuanguka
attachment.php


Angelikuwa yupo Bongo huyu wamesha mchoma moto wakimfikiria kuwa ni Mchawi kwetu Afrika bado tupo nyuma kwa kila kitu. Nachukia kweli tabia zetu sisi tunaojiita Waswahili haswa watu wa miji ya Pwani kwa kuabudu Ushirikina ahhhhhhhh.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom