Nchimbi huenda tusimwone tena kama Humphrey Polepole

HQlz5WQW8AADnFZ.jpg
 
Kaili alízozitoa Nchimbi Zinatisha.....
Ilikuwa ni Bampa to bampa...yani hadi mtu unaogopa..
Sijui kwakweli.
 
Alituasa Nyerere:

“Ukishakula nyama ya mtu, hutaacha kuila”

Huyu Samuya huyu, bila shaka mwanae kamroga; hana soni wala haya usoni kwake. Baada ya wiki 2 tutaanza kuimba, BRING BACK NCHIMBI.
Ccm ipo na watu wa ajabu sana , wapo na mabaraza kibao ,kuna wakongwe kibao ,wanashindwaje kuliamsha Dude , kwamba wako salama kiasi gani, wanachama wanatakiwa kuja na msimamo mmoja , sio kukaa kikondoo .
Wamtake alie mwanachama wao na Makamu wao yuko wapi?

Pili watake haki ya Mwanachama mwenzao kusikilizwa.

Kama hawezi sikilizwa basi hata uyo waligombea wote ,wamtake kuachia ngazi simple and clear , yanaburuzwa tu.
 
huyu mwanamke ana kiwango kikubwa sana cha ushetani ndani yake. AMEJAA USHETANI. hata hivyo naye hafiki mbali

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Nchimbi atafuata nyayo za Abdul Jumbe. Atazeekea nyumbani kwake na kamwe hataonekana mahala popote.
 
Ccm ipo na watu wa ajabu sana , wapo na mabaraza kibao ,kuna wakongwe kibao ,wanashindwaje kuliamsha Dude , kwamba wako salama kiasi gani, wanachama wanatakiwa kuja na msimamo mmoja , sio kukaa kikondoo .
Wamtake alie mwanachama wao na Makamu wao yuko wapi?

Pili watake haki ya Mwanachama mwenzao kusikilizwa.

Kama hawezi sikilizwa basi hata uyo waligombea wote ,wamtake kuachia ngazi simple and clear , yanaburuzwa tu.
Hapa ndipo tunafanya kosa watanzania. Kudhani jambo baya ni la kundi ambalo hatupo na wanaotakiwa kuhoji ni wale walio kwenye lile kundi. Bila kubadilika hatuwezi kujikomboa. Utasikia mtu anasema mbona CHADEMA wanamwacha Lissu na wasiandamane? Lengo langu ni kuwa linapotokea jambo ovu kwa mtu yoyote, basi ni jambo la letu sote.
 
Hupo sahii sana , ila tumeona ,yanatokea ya Chadema ccm sio wote wanachekelea ,itoshe sema naungana nawe ukurasa mpya uzaliwe tuunganishe nguvu ,bila kujali itikadi ya dini, chama n.k , nchimbi ana watoto ,ana familia hivyohivyo kwa wengine kama lissu ,Polepole ,mdude and the like ,tuamue namna ya ushiriki katika mambo aya ya kikatili kwa Mtz yoyote .

Mfano wenzetu USA WAMAIIZAPO Uchaguzi huja pamoja japo chaguzi zao sio kama za nchi za kiafrika ,zetu ni nyeusi sana.
 
Back
Top Bottom