Amapiano ni Ushamba wa wasanii wetu au fasheni?

Tatizo hujawahi niambia viwanja au beach kali.. Mi sio wa kwenda Beach za Bure napishana na mabeki tatu tupu..
😁😁😁😁 Hapa dar viwanja huwa tuna switch.. unaweza nikuta Juliana, ukanikuta samaki samamki, ukanikuta havoc alafu narudi nyumbanj kutokea kidimbwi 😁😁
 
Azawi ana ngoma inaitwa quinamino naikubali sana
Yes Azawi, sasa yumo kwenye mdundo wa singeli kashirikishwa na mtoto wa mtwara anaitwa Kinata Mc ngoma inaitwa Do li Me.
Wasanii wanaochipukia kwenye singeli ndiyo wataipeleka international.
 
Naona sasa imekua ndo kawaida kwa wasanii wetu kila wimbo unaotoka ni Amapiano sijui amopiano yaani zinafanana kwa kila kitu,binafsi naona ni upuuzi mtupu!!
Ni usenge,mwendo wa kucopy na kupaste kutoka kwa madiba ivi nikweli tumeshidwa kukuza bongofleva,singeri,taarabu mpaka tunashindana kuleta mziki wa nje hapa bongo
 
wasanii watanzania kila mmoja kukimbilia kuimba Amapiano ambayo ya SA ni ushamba wa kiwango cha lami.

Nimependa sana Msaanii wa Singeli Kinata MC katoa nyimbo na mwanadada wa Uganda anaitwa Azawi nyimbo inaitwa Do le mi Go remix,
Taratibu singeli imeanza kueleweka East Africa.
Tatizo anarekodia video kwenye chemba za mavi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom