Amani Karume: Nilishangaa wana-CCM wenzangu wanahofia wapinzani kushinda, Uchaguzi 2015 Zanzibar nilisikitika, niliwauliza hawa wenzetu si Watanzania?

nakubaliana na huyu mzee kwani yeye na maalim seif ndio walikaa na kuubaliana kuitishwa kura yamaoni kubadilisha katiba ya Zanzibar kua hii inayotumika leo ,pamoja navikao vilivyokua vimeitishwa dodoma kumuonya huyu mzee aliwachomolea ccm

Nitampa heshima hadikofo chake karume mdogo
 
Huyu mzee awe makini sana, CCM wenzake watammaliza muda sio mrefu kama walivyommaliza Mzee Ben
 
Hoja ni kuwa Ccm haitaki uchaguzi huru na haki. Hivyo huna sababu za kuwaringia wapinzani kuwa huwa mnawashinda .
 

Wewe yaani unamjua maalim kuliko sisi tulokaa Na wazee Wake Na ndugu zake
Hata Hao watoto wake ukiwaona hauihitaji kuambiwa

Yaani Time ni jina la kiarabu? Ukatoliki kazi

Chuki ni ugonjwa hatari sana
 
Maalim Seif hatunae tena sasa anamueleza nani au alimaanisha nn hasa Kwa kukaa kimya muda wote huo??
alijaribu kuleta serikali ya umoja wa kitaifa alithubutu na alifanikiwa ingawa baadaye waharibifu wakairudisha tena zanzibar nyuma kabisa kisiasa
 

 
Mnafiki kiwango cha juu sana
 
Mbona mwaka 2000 CCM ililazimisha yeye Amani Karume awe Rais wa Zanzibar na akakubali?
Hiyo ni hali aliyokuwa anaitaka miaka mingi,awe Rais angalau apate nafasi ya kuikwamua Zanzibar,na alijaribu kufanya mambo mengi bila kuyashirikisha haya maccm bara. Lakini mambo mengi pia aliyoyawazia kuikwamua Zanzibar alikwamishwa na miccm bara
 
UNAYALINDAJE MAPINDUZI MATUKUFU KWA MASKHARA?!!


Iko hivi.......

Si kila MAPINDUZI hufanywa na WANANCHI WALIO WENGI.....

Si kila MAPINDUZI ni matukufu(kinyume na haya ya Zanzibar)......

Mathalani nchini SUDAN OMAR AL BASHIR alifanya mapinduzi....kwa kuwa hayakuwa MATUKUFU hakuweza kuyasimamia....mwishowe mwaka 2019 AKAPINDULIWA NA WANANCHI KWA UMOJA WAO....

Haya ya 2019 ndiyo matukufu kama ya ndugu zetu Zanzibar......

Kinachoendelea sasa ni kuwa Wasudani wanamshangaa Jenerali Abdel Fattah El Burhan kwa KUYAFANYA NI MAPINDUZI YAKE BINAFSI ILIHALI YEYE NAYE NI MATOKEO YA MAPINDUZI MATUKUFU.....

Jenerali El Burhan alishuhudia mwafaka wa kuundwa kwa serikali Kati ya Wananchi-Jeshi(Transitional Military Council) na Wananchi- Raia(FCC)....

Ikiwa imebaki mwezi mmoja tu ili kuwe na UKOMO WA UONGOZI WAKE ,Jenerali El Burhan anaipindua serikali(mapinduzi haramu yaliyo ndani ya mapinduzi matukufu)🤣🤣🤣

Lipi ni funzo KWETU ?!!!!!

Funzo kwetu ni kuendelea KUYALINDA MAPINDUZI MATUKUFU YA MWAKA 1964 NA KUVIKATAA VIASHIRIA VYOVYOTE VYA KUYABAGAZA NA KUJA KUTOKEA MAPINDUZI(haramu) ndani ya MWENDELEZO WA MAISHA YA MAPINDUZI MATUKUFU👍👊💪

Siempre JMT
Siempre CCM
Siempre Serikali Mbili za JMT
Mapinduzi ya 1964 Daima👊💪
 
Maalim alishinda uchaguzi Z'bar. Sema tu dhuluma ikashika hatamu. Ameshakufa ndo anasifiwa kila mona.
 
Kakojowe ukalale
 
Raisalikuwa Commando.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…