Amani Karume: Nilishangaa wana-CCM wenzangu wanahofia wapinzani kushinda, Uchaguzi 2015 Zanzibar nilisikitika, niliwauliza hawa wenzetu si Watanzania?

Msudu

JF-Expert Member
Aug 19, 2021
410
500
Rais Mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume amesema miongoni mwa mambo yaliyowahi kumsikitisha ni kuitishwa kwa uchaguzi wa marudio mwaka 2015, wakati wakiwa kwenye kikao cha kujadili yaliyotokea katika uchaguzi huo akisema yeye alikuwa miongoni mwa wajumbe wa CCM waliokuwa wakifanya majadiliano na Maalim Seif baada ya uchaguzi ili kujua hatma ya Zanzibar.

Uchaguzi huo ulifutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wakati huo Mwenyekiti wake akiwa Jecha Salim Jecha aliyeamua kufuta matokeo yaliyokuwa yakiendelea kutangazwa kisha ukatangazwa uchaguzi wa marudio uliofanyika Machi 20 2016 ambao Maalim Seif aliususia.

"Nilishangaa hata wana CCM wenzangu wanahofia wapinzani kushinda, niliwauliza kwani hawa wenzetu si Watanzania? Hawataki haki na usawa? Niliwaambia Maalim Seif ni mtu muungwana kuliko hata walivyokuwa wakimuona na kumpa majina mabaya"-Karume.
View attachment 2002278
Ishi Ulaumiwe, Kufa Usifiwe.
 
Jagina

JF-Expert Member
Jan 29, 2019
999
500
Sawa.....

Ndio mapinduzi hayo......

Yameshatokea........

Si bora hayo ya Zanzibar....Yale ya familia ya Al Saud kule Saudia ni makubwa zaidi......

Mapinduzi yakifanywa na kutokea....wakishasimamisha UTAWALA wao....kuupinga huwa ni muhali.....ni muhali kwa kweli....
Ndivyo uonavyo wewe

Hayo sisi wengine tumeyaona hayakuwa Mapinduzi isipokuwa ni uvamizi wa Laanatullahi Nyerere, chini ya maamrisho ya kanisani lake la Kikatoliki.
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,814
2,000

Umeona jinsi ulivyo hovyo?!!!

Kwa hiyo Nyerere aliyekufa mwaka 1999 laana unazommwagia una uhakika Mwenyezi Mungu Muumba Wa Mbingu Na Nchi atazipokea na kumpa adhabu huko aliko ?!! Una uhakika?!!!

Ndio "imani" yako inavyokufundisha kuwa unayetofautiana naye kimtazamo basi MLAANI??!?!

Umetaja kanisa katoliki una uhakika?!! Una ushahidi hapo ?!!!

Yaani FAIDA waipatayo watanzania wa pande zote kutokana na huu MUUNGANO useme hapana....ni faida ya kanisa katoliki....Khaaaa😳😳😳🀣🀣🀣

Yaani wabara waliojazana huko Unguja na kubangaiza rizki zao faida inakuwa ya KANISA KATOLIKI

Yaani wazanzibari waliojazana Ilala ,Buguruni ,Tanga ,Mwanza ,Makete ,Matema Kyela kutafuta maisha yao na watoto wao faida inakuwa ya KANISA KATOLIKI?!!! 😳😳😳🀣🀣

Uliniita kijana wako kiumri nikakubali kwa kutarajia najadiliana na mtu mzima na mzee wangu ambaye atatanguliza HOJA tofauti na VIOJA ,CHUKI ,UBAGUZI ,MITIZAMO HASI ,MISIMAMO YENYE KUTIA MASHAKA....imekuwa kinyume haswa....inna lillahi wainna illayhi rrajiuun........πŸ™
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
24,481
2,000
Amani alisikia tangazo la kufutwa na kurudiwa Uchaguzi wa Jecha kama Pohamba tu japo alikuwa Rais mstaafu na Mtoto wa Muasisi wa Mapinduzi

Hii ndio Raha ya Baraza la Mapinduzi
 
Bondpost

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
4,964
2,000
Rais Mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume amesema miongoni mwa mambo yaliyowahi kumsikitisha ni kuitishwa kwa uchaguzi wa marudio mwaka 2015, wakati wakiwa kwenye kikao cha kujadili yaliyotokea katika uchaguzi huo akisema yeye alikuwa miongoni mwa wajumbe wa CCM waliokuwa wakifanya majadiliano na Maalim Seif baada ya uchaguzi ili kujua hatma ya Zanzibar.

Uchaguzi huo ulifutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wakati huo Mwenyekiti wake akiwa Jecha Salim Jecha aliyeamua kufuta matokeo yaliyokuwa yakiendelea kutangazwa kisha ukatangazwa uchaguzi wa marudio uliofanyika Machi 20 2016 ambao Maalim Seif aliususia.

"Nilishangaa hata wana CCM wenzangu wanahofia wapinzani kushinda, niliwauliza kwani hawa wenzetu si Watanzania? Hawataki haki na usawa? Niliwaambia Maalim Seif ni mtu muungwana kuliko hata walivyokuwa wakimuona na kumpa majina mabaya"-Karume.
View attachment 2002278
Mnafiki tu, anajua ukweli kwamba Maalim alishinda although ni kweli alitaka kumuachia hata Shein alikubali Ila CCM wakalazimisha
 
Jagina

JF-Expert Member
Jan 29, 2019
999
500
Umeona jinsi ulivyo hovyo?!!!

Kwa hiyo Nyerere aliyekufa mwaka 1999 laana unazommwagia una uhakika Mwenyezi Mungu Muumba Wa Mbingu Na Nchi atazipokea na kumpa adhabu huko aliko ?!! Una uhakika?!!!

Ndio "imani" yako inavyokufundisha kuwa unayetofautiana naye kimtazamo basi MLAANI??!?!

Umetaja kanisa katoliki una uhakika?!! Una ushahidi hapo ?!!!

Yaani FAIDA waipatayo watanzania wa pande zote kutokana na huu MUUNGANO useme hapana....ni faida ya kanisa katoliki....Khaaaa😳😳😳🀣🀣🀣

Yaani wabara waliojazana huko Unguja na kubangaiza rizki zao faida inakuwa ya KANISA KATOLIKI

Yaani wazanzibari waliojazana Ilala ,Buguruni ,Tanga ,Mwanza ,Makete ,Matema Kyela kutafuta maisha yao na watoto wao faida inakuwa ya KANISA KATOLIKI?!!! 😳😳😳🀣🀣

Uliniita kijana wako kiumri nikakubali kwa kutarajia najadiliana na mtu mzima na mzee wangu ambaye atatanguliza HOJA tofauti na VIOJA ,CHUKI ,UBAGUZI ,MITIZAMO HASI ,MISIMAMO YENYE KUTIA MASHAKA....imekuwa kinyume haswa....inna lillahi wainna illayhi rrajiuun........πŸ™

Nilijua

Nimekuelewa kijana , nilikuwa nakusubiri tu nikupe maneno ya kardinali wako Pengo anavyokuambia kuwa MUNGU WENU AMEKUAGIZA UULINDE MUUNGANO

NB: Unaweza kuja na shutuma nyengine lakini bado nitakuwekea madhumuni ya Nyerere kwa ushahidi wa kanisa lenu

Kardinali Pengo: Muungano si bahati nasibu​- May 02, 2016

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewataka waamini na wananchi kwa ujumla kutambua kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar si jambo la bahati nasibu.

Kardinali Pengo ameyasema hayo ofisini kwake hivi karibuni alipoitisha vyombo vya habari vya Kanisa Katoliki kuzungumzia pamoja na mambo mengine ongezeko la Parokia mpya jimboni kwake pamoja na mabadiliko kwa Maparoko na Maparoko Wasaidizi katika baadhi ya Parokia jimboni humo.

Amesema suala la Muungano linapaswa kuchukuliwa kwa uzito wa pekee kwa kila Mtanzania hasa waamini Wakatoliki na kwamba kila mwamini anapaswa kutambua kuwa amepewa jukumu na Mwenyezi Mungu kulinda na kuombea Muungano huo.
 
Jagina

JF-Expert Member
Jan 29, 2019
999
500
Umeona jinsi ulivyo hovyo?!!!

Kwa hiyo Nyerere aliyekufa mwaka 1999 laana unazommwagia una uhakika Mwenyezi Mungu Muumba Wa Mbingu Na Nchi atazipokea na kumpa adhabu huko aliko ?!! Una uhakika?!!!

Ndio "imani" yako inavyokufundisha kuwa unayetofautiana naye kimtazamo basi MLAANI??!?!

Umetaja kanisa katoliki una uhakika?!! Una ushahidi hapo ?!!!

Yaani FAIDA waipatayo watanzania wa pande zote kutokana na huu MUUNGANO useme hapana....ni faida ya kanisa katoliki....Khaaaa😳😳😳🀣🀣🀣

Yaani wabara waliojazana huko Unguja na kubangaiza rizki zao faida inakuwa ya KANISA KATOLIKI

Yaani wazanzibari waliojazana Ilala ,Buguruni ,Tanga ,Mwanza ,Makete ,Matema Kyela kutafuta maisha yao na watoto wao faida inakuwa ya KANISA KATOLIKI?!!! 😳😳😳🀣🀣

Uliniita kijana wako kiumri nikakubali kwa kutarajia najadiliana na mtu mzima na mzee wangu ambaye atatanguliza HOJA tofauti na VIOJA ,CHUKI ,UBAGUZI ,MITIZAMO HASI ,MISIMAMO YENYE KUTIA MASHAKA....imekuwa kinyume haswa....inna lillahi wainna illayhi rrajiuun........πŸ™

SIKILIZA VITABU VYA KANISA LAKO VINAVYOSEMA ; USIJE NA JAZIBA

Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,814
2,000
SIKILIZA VITABU VYA KANISA LAKO VINAVYOSEMA ; USIJE NA JAZIBA
SIKILIZA VITABU VYA KANISA LAKO VINAVYOSEMA ; USIJE NA JAZIBAMimi si muumini wa Katoliki....ila mimi ni msema ukweli tu....

Umejaa "ulevi wa dini na udini".....

Hata kitabu angeandika nani bado hauwezi ukawa ukweli πŸ’― p....kwani ana mawazo yake na hisia zake juu ya mambo yoyote yale.....kwanza hicho kitabu WASOMI walikwishakitolea mapungufu mengi ya kisomi.......

Lakini bado tu kila uchao ,baadhi ya watu wakishindwa HOJA wanatukumbusha hayo......

FYI: Jamshid na utawala wake walikuwa ni MASWAHIBA WA DOLA LA UINGEREZA ALIKOKIMBILIA.....je dola la UINGEREZA nalo "lilimsaidia Jamshid kuusimika uuitao "uislam"?!!!

Kullul haqqu lau kana mura!
 
Jagina

JF-Expert Member
Jan 29, 2019
999
500
Mimi si muumini wa Katoliki....ila mimi ni msema ukweli tu....

Hao wasomi waliokitoa makosa wao hawana makosa ? Ni makosa yapi ?
Maneno ya Kardinali wenu Pia wameyatoa makosa?

Anawaambia Mungu amewapa agizo muulinde Muungano , biblia yenu ndivyo ilivyoandikwa?
Mbali ya Jemshid huyo Laanatullahi Nyerere Nani alimrudisha madarakani baada ya kupinduliwa Na wanajeshi ?
 
Ole jaminati

Senior Member
Sep 23, 2021
111
225
Rais Mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume amesema miongoni mwa mambo yaliyowahi kumsikitisha ni kuitishwa kwa uchaguzi wa marudio mwaka 2015, wakati wakiwa kwenye kikao cha kujadili yaliyotokea katika uchaguzi huo akisema yeye alikuwa miongoni mwa wajumbe wa CCM waliokuwa wakifanya majadiliano na Maalim Seif baada ya uchaguzi ili kujua hatma ya Zanzibar.

Uchaguzi huo ulifutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wakati huo Mwenyekiti wake akiwa Jecha Salim Jecha aliyeamua kufuta matokeo yaliyokuwa yakiendelea kutangazwa kisha ukatangazwa uchaguzi wa marudio uliofanyika Machi 20 2016 ambao Maalim Seif aliususia.

"Nilishangaa hata wana CCM wenzangu wanahofia wapinzani kushinda, niliwauliza kwani hawa wenzetu si Watanzania? Hawataki haki na usawa? Niliwaambia Maalim Seif ni mtu muungwana kuliko hata walivyokuwa wakimuona na kumpa majina mabaya"-Karume.
View attachment 2002278
Wanaccm wanajiona wana hati miliki na nchi hii na wabinafsi sana na wanalinda maslai yao binafsi kwa kutumia plc lkn wana mwisho wao tunataka katiba mpya na tume huru ya uchaguz
 
Ole jaminati

Senior Member
Sep 23, 2021
111
225
Rais Mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume amesema miongoni mwa mambo yaliyowahi kumsikitisha ni kuitishwa kwa uchaguzi wa marudio mwaka 2015, wakati wakiwa kwenye kikao cha kujadili yaliyotokea katika uchaguzi huo akisema yeye alikuwa miongoni mwa wajumbe wa CCM waliokuwa wakifanya majadiliano na Maalim Seif baada ya uchaguzi ili kujua hatma ya Zanzibar.

Uchaguzi huo ulifutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wakati huo Mwenyekiti wake akiwa Jecha Salim Jecha aliyeamua kufuta matokeo yaliyokuwa yakiendelea kutangazwa kisha ukatangazwa uchaguzi wa marudio uliofanyika Machi 20 2016 ambao Maalim Seif aliususia.

"Nilishangaa hata wana CCM wenzangu wanahofia wapinzani kushinda, niliwauliza kwani hawa wenzetu si Watanzania? Hawataki haki na usawa? Niliwaambia Maalim Seif ni mtu muungwana kuliko hata walivyokuwa wakimuona na kumpa majina mabaya"-Karume.
View attachment 2002278
Ccm ilishakufa kimebaki kikundi fulani cha watu ndo wanafaidi matunda ya uhuru aliyoupigania mwal Nyerere na wabinafsi sana hawatak kuwaona watz wenzao walio upinzan wakiw viongozi na wanalinda maslai yao binafsi kwa kutumia plc . Mwisho wao ni katiba mpya na tume huru ya uchaguz
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,814
2,000
Hao wasomi waliokitoa makosa wao hawana makosa ? Ni makosa yapi ?
Maneno ya Kardinali wenu Pia wameyatoa makosa?

Anawaambia Mungu amewapa agizo muulinde Muungano , biblia yenu ndivyo ilivyoandikwa?
Mbali ya Jemshid huyo Laanatullahi Nyerere Nani alimrudisha madarakani baada ya kupinduliwa Na wanajeshi ?
Nilitegemea mjadala uwe CRITICAL kwa kunijibu nililokuuliza.....

Ok.....

Narudia tena swali....Jamshid ALIKUWA chini ya UINGEREZA ambao ni waanglikana....

Je UINGEREZA ilimuachia dola la Zanzibar kwa kigezo cha kuustawisha uislam Zanzibar?!!!

Je baada ya kupinduliwa ni haohao UINGEREZA iliyompa hifadhi....je bado anaendeleza kuustawisha uislam hapa Zanzibar?!!!
 
RAISI AJAYE

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
2,729
2,000
Hivi siku Ridhwani akagombea kupitia upinzani atanyimwa dola hata kama kashinda kihalali???CCU labda ndio kimbilio jipya nchini!!
 
Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
12,679
2,000
Asikudangaje mtu Zanzibar serikali ya umoja wa kitaifa inawezekana tu pale mtoto wa mwarabu mpemba akishika Kama Raisi
Umerudia mara nyingi sana kusema "Waarabu Wapemba..."

Hao "Waarabu Wapemba" ni Waarabu wa aina gani, na wanatofautiana vipi na Waarabu wengine?

Btw, kwamba Serikali ya Umoja wa Kitaifa inawezekana tu pale madarakani anapokuwa Mwarabu... kwani hiyo Serikali ya Umoja wa Kitaifa ilianza wakati madarakani akiwa Mwarabu yupi, na ikafa wakati yupo Mswahili Mweusi yupi?!
akishika Mswahili ngozi nyeusi waarabu wapemba hawataki serikali ya umoja wa kuanzia kitaifa kuanzia kipindi Cha Karume baba yake huyo karume mwehu wapemba waliomuua ,
Hivi unaijua historia ya ZNZ kweli wewe?!

Karume aliuawa na Waarabu au aliuawa kutokana na utawala wake wa kidikteta?!

Au unata ukumbushwe ni namna gani alivyokuwa na hofu dhidi ya wanachama wa Umma Party kwa sababu tu, miongoni mwao walikuwa wasomi waliotukuka kuliko yeye, na pia wenye mitazamo ya kikomunisti!!

Yaani tuanze kukumbushana jinsi alivyokuwa anawaweka ndani wale aliokuwa anawaona threat kwake, na wengine kuwapeleka bara?!

Au nianze kukupa darasa hapa kwamba, watu wa mwanzo kabisa kuleta mgawanyiko ni Wanazi wa ASP ambao walikuwa Waafrika Weusi?
iwe kipindi Cha Mwinyi ,Raisi Idris Wakil, iwe kipindi Cha Salmin Amour ,Au kipindu Cha Dr Sheiin
Hao uliowataja walisumbuliwa na Waarabu gani?! Usitolee mfano wa akina Maalim Seif ambao walifikia hadi kutimuliwa kwa sababu hata Jumbe, native African nae alitimuliwa kwa sababu zile zile ambazo zilipelekea Maalim Seif kutimuliwa!
Huyu Makamu wa kwanza wa Raisi mfano wa Zanzibar wa Sasa Ni mla pilau tu misiba na pilau kwa waarabu wapemba na akina Duni Haji waswahili wenzie .Hana lolote
Yaani Othman Masoud hana lolote?! Hivi unawajua vizuri hawa watu wewe?
Zanzibar waarabu wapemba hawataki hata siku moja ishikwe na Mswahili mweusi Mia kwa Mia hata awe mpemba kama Shein nk hata wakushika Wala ubwabwa kwa wapemba kwenye misiba yao wawe CCM au upinzani wawe Duni Haji au huyo Makamu wa Kwanza wa Raisi atahesabika mtwana tu na hopeless hata awe upinzani

Wapemba waarabu Zanzibar Ni wakabila kupindukia akiwemo huyo Aliyekuwa Raisi Karume wa CCM mtoto wa Karume aliyeongea hayo
Mauaji ya kutisha kule Pemba yalitokea wakati rais akiwa nani? Alikuwa hao unaowaita Waswahili Weusi "wanaouchukiwa na waarabu wa Pemba" au alikuwa hao unaowaita Waarabu?!
 
Jagina

JF-Expert Member
Jan 29, 2019
999
500
Nilitegemea mjadala uwe CRITICAL kwa kunijibu nililokuuliza.....

Ok.....

Narudia tena swali....Jamshid ALIKUWA chini ya UINGEREZA ambao ni waanglikana....

Je UINGEREZA ilimuachia dola la Zanzibar kwa kigezo cha kuustawisha uislam Zanzibar?!!!

Je baada ya kupinduliwa ni haohao UINGEREZA iliyompa hifadhi....je bado anaendeleza kuustawisha uislam hapa Zanzibar?!!!

Naona umeanzisha mjadala wa Jemshid,Kama Vile wewe umenijibu maswali yangu

Hayo uliyoyaandika ndio wasomi waliokosoa kitabu cha ,Padri Peter Smith?

Wasomi gani walimkosoa Kardinal wenu Pengo alipowaambia Muulinde muungano kwani hayo ni maagizo ya Mungu ?

Nani alimweka madarakani Laanatullahi Nyerere baada ya kupinduliwa Na majeshi?

Nakushukuru sana kwa kuniita mdini ijapokuwa Mimi siye kardinal Pengo aliyewaambia muulinde Muungano kwani ni amri ya mungu
 
dos.2020

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
5,332
2,000
Karume na upinzani Zanzibar wakabila mno . Zanzibar akishika mwarabu mpemba au mtoto wa mwarabu mpemba serikali ya umoja wa kitaifa huwezekana akishika Mswahili ngozi nyeusi hata awe mpemba Kama Dr Sheiin Zanzibar haikaliki na hawataki serikali ya umoja wa kitaifa

Mfano Karume Mama yake ni mwarabu mpemba alioshika uraisi Maalim Seif Mtoto wa mwarabu mpemba akaacha vituko akaingia serikali ya umoja wa kitaifa maana waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba

Aliyemtangulia Karume Raisi Salmin Amour Mswahili ngozi nyeusi Maalim Seif mwarabu mpemba alimsumbua kweli kweli sio utani na hakutaka serikali ya umoja wa kitaifa naye

Raisi Mwinyi mzee baba yake Raisi Mwinyi wa Sasa alikuwa Mswahili ngozi nyeusi mtoto wa waswahili ngozi Nyeusi wapemba walimsumbua mno

Abdul wakil Mswahili vile vile walimsumbua kisa mtoto wa wazazi waswahili

Sasa huyu Raisi mwinyi wa Sasa Ni mtoto wa Mama asiki ya kiarabu mama Siti Mwinyi hapo wapemba waarabu meno nje Maalim Seif akakubali serikali ya umoja wa kitaifa na mtoto wa mwarabu mwenzao!!!

Karume alikubalika kwa wapemba sababu Mama yake Mwarabu ndio maana anajitia kushangaa eti kwani wanamshangaa Maalim Seif mwarabu mwenzie!!!

ukabila Zanzibar mkali mno kuliko bara

Pumba tupu
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,814
2,000
Naona umeanzisha mjadala wa Jemshid,Kama Vile wewe umenijibu maswali yangu

Hayo uliyoyaandika ndio wasomi waliokosoa kitabu cha ,Padri Peter Smith?

Wasomi gani walimkosoa Kardinal wenu Pengo alipowaambia Muulinde muungano kwani hayo ni maagizo ya Mungu ?

Nani alimweka madarakani Laanatullahi Nyerere baada ya kupinduliwa Na majeshi?

Nakushukuru sana kwa kuniita mdini ijapokuwa Mimi siye kardinal Pengo aliyewaambia muulinde Muungano kwani ni amri ya mungu
Umerudi tena bila ya MAJIBU YA MASWALI YANGU....hapa unafeli mzee....

Una ushuhuda Kardinali Pengo alitamka kuwa muungano ulindwe kwa sababu ya faida ya KANISA KATOLIKI?!!!

Kwa maneno yako umesema PENGO amesema TUULINDE MUUNGANO kwa sababu ya AMRI YA MUNGU....unakataa kuwa hiyo haiwezi ikawa ni lugha pana ya kumaanisha kuwa MUUNGANO NI MUHIMU kwa faida ya vizazi....na kuulinda ni lazima....kwani Mungu hataki TUTUNZE NA KUVILINDA VINAVYOTHAMINI UTU WETU?!!!

Je wote waulindao muungano huo ni wakatoliki na dini nyingine hakuna?!!!!
 
Ushahidi nimekuwekea kutoka gazeti la kiongozi
Halafu unakuja Na tafsiri , hivi ndivyo ulivyoambiwa Na Pengo?
Sasa unataka nikuambie mambo ya Jemshid Na waingereza hivi ulisoma kitabu gani utuelimishe?
Mimi nimekuletea maelezo yaliyomo kwenye kitabu cha Peter Smith.
Sasa tuambie Nani alimweka madarakani Laanatullahi Nyerere baada ya kupinduliwa Na majeshi?
 
UINGEREZA ndiyo iliyokuja kumsaidia baba wa taifa hayati JKN baada ya mapinduzi yale.....

UINGEREZA ileile iliyokuwa BOSS wa JAMSHID.....UINGEREZA ileile iliyomsimamia Jemshid "aeneze Uislam Zanzibar" ndiyo iliyokuja tena kumsaidia BABA WA TAIFA HAYATI JKN.....

Ni uingereza haohao WAANGLIKANA na si WAKATOLIKI.....

Tupende kudadavua mambo kwa upana na mawanda yake......

Binadamu hana ADUI na RAFIKI wa kudumu........huo ndio ukweli wenyewe na ndio maana JAMSHID na familia yake yuko hifadhini Uingereza......na kule kwao Oman Muscat.....ni haohao WAINGEREZA waliompa nguvu baba yake hayati sultan Qaboos,hayati Qaboos mwenyewe na huyu wa sasa......
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom