Kuna video nimeiona Twitter... hiki kiburi hiki! Hiki kiburi hiki; acha tu!!Komandoo Salmini yupo lakini sina uhakika Watanzania wengi wanajua haswa yuko wapi, anafanya nini na ana hali gani maana hata kwenye hadhara zinazojumuisha viongozi wastaafu wa kitaifa haonekani (au ni nadra kumuona).
Je, Komandoo Salmin Amour yu wapi? Nini kimemsibu? Kulikoni Komandoo? Ya January 2001 yanahusu?
Ndiyo maana nikauliza......Komandoo kunani?? Ni karma, ama?Kuna video nimeiona Twitter... hiki kiburi hiki! Hiki kiburi hiki; acha tu!!
Kwa state aliyokuwa nayo kwenye ile video, kisha pale umweke na mlemavu anaye-move kwa kutambaa (kiwete) kisha uwaambie atakayemaliza wa kwanza kwenye "mbio" za 100 m, basi atazawadiwa Sh.100 Billion!!!
Pesa/zawadi itaenda kwa kiwete!!!
Salmini alipoacha tu madaraka alifikwa na majanga. Kwanza mkewe alimkimbia, pili alipoteza uwezo wake wa kuona.Huwa nasema afadhali Salmini bado yupo hai tasbihi haitoki mkononi akiomba toba kwa mola wake. Huenda maradhi alokuwa nayo ni adhabu kutoka kwa mola wak akiwa hapa duniani ila kwa Akhera akawa amesamehewa. Kuna hawa wanaotoka madarakani saiv km balozi, kidogo kidogo anaelekea kupooza na kuna uwezekano mkubwa wa kuja kukata kauli na kusahaulishwa kutubu.
Tuwekee hapa hiyo video MkuuKuna video nimeiona Twitter... hiki kiburi hiki! Hiki kiburi hiki; acha tu!!
Kwa state aliyokuwa nayo kwenye ile video, kisha pale umweke na mlemavu anaye-move kwa kutambaa (kiwete) kisha uwaambie atakayemaliza wa kwanza kwenye "mbio" za 100 m, basi atazawadiwa Sh.100 Billion!!!
Pesa/zawadi itaenda kwa kiwete!!!
Aiseee kweli malipo ni hapa hapa Duniani,pole yake.komandoo akipasha pasha misuliView attachment 1615914
ha ha sio mbaya anakula pensheni kwa amaniAiseee kweli malipo ni hapa hapa Daniani,pole yake.
Nadhani hapo alipo anatamani asingepata Urais angebaki Raia wa kawaida na Afya yake Njema.ha ha sio mbaya anakula pensheni kwa amani
Na bado. Hadi atubu kwa roho za wazanzibar zilizouawa akiwa kiongozikomandoo akipasha pasha misuliView attachment 1615914
ila ndo hivyo malipo ni hapa hapa dunianiNadhani hapo alipo anatamani asingepata Urais angebaki Raia wa kawaida na Afya yake Njema.
Masikin Shamhuna. Apumzike alipostahili.Muasisi wa Serikali ya Mseto Znz ni Jakaya Mrisho Kikwete
Serikali ya Karume ilikuwa inapinga wazo hilo na hata kwa kejeli Waziri wake maarufu Ali Juma Shamhuna akawa anakebehi anasema anajua Mseto wa Chakula sio wa Serikali
Jakaya akaitisha kikao cha NEC kikafanyika Butiama 2009 akaingiza na kuipitisha kibabe hoja ya Serikali ya Mseto Znz kina Karume wakatoka vichwa chini na kwa kuwakomesha mahafidhina akampitisha Mpemba kwa mara ya kwanza
Kuna mmoja anajiita jiwe aka chuma, laiti kama angesoma hapa kiburi na majivuno yake huenda angepunguza.Salmini alipoacha tu madaraka alifikwa na majanga. Kwanza mkewe alimkimbia, pili alipoteza uwezo wake wa kuona.
Kiufupi Salmin a.k.a Komando wa udongo alifanya mambo mengi yasiyopendeza kama vile kuvunjia watu majumba, kuwatoa makazini wote wenye mrengo wa upinzani, kuwabambikizia wafuasi wa CUF kesi ya uhaini, alivoombwa awatoe akasema waache wakae ndani si mapapai hayo. Pia kulikua na vitendo vya kutia vinyesi kwenye visima n.k
Haya yote kwa ujumla ni makosa dhidi ya binaadamu ambayo Mungu mwenyewe amejivua mamlaka ya kusamehe mpaka binaadamu wenyewe wakusamehe.