Amaboko ya Diamond & Rayvanny yabuma

mchepuko

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
1,192
1,400
Wakuu sikutegemea wakongwe hawa wawili wenye medali za kimataifa kutoa song halafu isiwe hitsong.

Naomba niwape pole sana WCB pamoja na fans wao, ni wakati sasa wa kujitafakari hasa ndugu yangu Rayvanny na wenzako hii sio hatua nzuri ni mbaya maana mtapanik na mwishowe mtafeli mazima
 
Haters kazini ,Ngoma imetoka audio tu na inatrend no 1 unasema imebuma...angalia jamaa wamekutwa na msiba hata ngoma hawapush lakin wapo top bado...still unasema imebuma?

Sasa subiri official video mkuu ndio uje kusema imebuma au vp
 
Wcb siku hizi wameishiwa hawana ubunifu kama kipindi cha nyuma. Toka waondoke mavoko na harmonize chama linazidi kudidimia.
 
Mkuu hujaacha chuki na wcb tu? Juzi hapo ulipost nakusema Diamond hajatoa misaada aliyoahidi wakati sio kwel..leo hii unasema jamaa wameishiwa,,mbona huko nyuma hukuwah kuwasifia kama walikua wabunifu
 
"Tuko na majonzi ya msiba, pia mchakato wa kuwania ubunge, kwahiyo mambo n mengi mtusamehee" alisikika babu talle,
 
Haters kazini ,Ngoma imetoka audio tu na inatrend no 1 unasema imebuma...angalia jamaa wamekutwa na msiba hata ngoma hawapush lakin wapo top bado...still unasema imebuma?

Sasa subiri official video mkuu ndio uje kusema imebuma au vp
video gani zaid ya ile dance video yao?
 
Mkuu hujaacha chuki na wcb tu? Juzi hapo ulipost nakusema Diamond hajatoa misaada aliyoahidi wakati sio kwel..leo hii unasema jamaa wameishiwa,,mbona huko nyuma hukuwah kuwasifia kama walikua wabunifu
Sikia dayamondi kampigie magoti harmonize lasihivyo chama linakufia mkononi🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom