kajojo
JF-Expert Member
- Jun 9, 2012
- 2,947
- 5,496
Sio unampelekea simba kachumbari limao ili aburudike vizuriSiku nikimkuta mwana ccm anataka kuliwa na simba namsaidia simba afanikishe azma yake
Sio unampelekea simba kachumbari limao ili aburudike vizuriSiku nikimkuta mwana ccm anataka kuliwa na simba namsaidia simba afanikishe azma yake
Mpe na Kilimanjaro Mimi ntalipiaAhahahaaa ikiwezekana na ze lager bariiidi ashushie
HapanaTumeumbwa kusamehe na kuombeana radhi... Tulenge ya mbele !!
Hivi punda alipelekwa kwa mganga wa wanyama?
[emoji24][emoji24][emoji24]Tumeumbwa kusamehe na kuombeana radhi... Tulenge ya mbele !!
Kwa comment hizi ,lazima ajue kabisa watu wamemchukia kwa kiwango cha juu kabisa,Sawa kabisa. Nani akuombee wewe shetani savimbi nyoka Mwigulu. Hata mkeo nahisi amefurahi wewe kupata ajali. Heri ungetangulia ahera. Pona haraka Punda uliyegongwa na baladhuri Mwigulu.
Mkuu toa neno basi[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app