Ama kweli watu wamechafukwa

Hakuna uongozi au serikali itaepuka kusemwa au kukosolewa. Wanachokosea ni njia wanayotumia kupambana na hii hali.
Wakiwaacha watu wakasema wao wakajikita kutatua kero na kufanya mambo kwa mpangilio, watapunguza matatizo mengi na makelele ya wananchi wenye hasira.

Ni kweli sikufurahishwa sana na huyu jamaa wa nyumbani alivyotyumia nafasi yake alipokuwa madarakani lakini kumuombea mabaya sio uungwana, kwa ufupi kufurahia adui yako anapokua matatizoni hakuna faida yeyote.
Adui mwombee njaa
 
Duh! Aisee watu mnamajibu
Bingwa wa kusamehee myahudi mmoja aitwae Yesu hakuwasamehe wale walioligeuza hekalu la bwana pango la walanguzi na wanyang'anyi. Akapinduapindua meza zao. Sembuse sie wadhaifu tukawasamehe mashetani?????
 
Ahahahaaaaa nimeipenda hii #get well soon punda
 
Similar Discussions

14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom