Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,433
Jamani 😁😁😁😁Acha kiburi basi,,,,kuwa na Moyo safi Kama wa Bei Elekezi ,,unapigwa chini miaka kadhaa Ila ukirudiwa ghafla unaamini unapendwa🤣🤣🤣🤣🤣
Ila huyo dada ni mafia,kaombwa number insta katuma za mitandao miwili kabisaa ,🤔
Binti alikuwa tu na shida iliyomfanya ajizime data na kusahau aliyokuwa akimtendea jamaa kwa miaka 10 iliyopita. Na aliposaidiwa akaona ampoze mwamba. Mwamba naye kwa usongo wa kutukanwa na kuitwa mbwa kwa miaka kumi (decade nzima) akaona isiwe shida. Nashangaa hajaelezea jinsi alivyopelekea moto kibabe maana usongo na malipizi ya decade nzima mtiti wake sipati picha 😁😁😁