Ama kweli Pesa ni kilainishi

Ama kweli Pesa ni kilainishi

Isinge wezekana mkuu nilijua hatakuwa na ujasiri huo, ila nilikwepa kumtajia lodge kama option yakwanza, nilikwepa kutaja restaurant maana baada ya kutoka kwenye restaurant ingekuwa ngumu kumshawishi kwenda kutiana. Ni mambo ya cuba haya.
Akili ubwa hio
 
Bei Elekezi
Nimegundua mambo machache kwako:

1. Vijana wengi approach yenu mbovu....tengeneza mazingira na huhitaji nguvu nyingi kutongoza ujue

2. Huwezi day one sio sahihi sana kutongoza
3. Kuna wanawake ukionyesha uchu mkubwa umemkosa
..............................

4. Inasikitisha wanaume wengi hatujui thamani yetu...ke akikutaka yeye unapatikana 24/7/12
Huu ni ujinga mzito.

5. Nilivyo na dharau ningempa hiyo pesa kama ninavyosaidia yatima lkn simgusi kwa kutaka kwake hadi nimtake mimi.

6. Umeliwa kimasihara bro🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Shimba ya Buyenze
4 inatesa wengi kwa kushindwa kuzishinda tamaa zao
 
Habari wakuu,
Ninayo furaha ya pekee sana jioni ya leo baada ya kutunukiwa mwili na binti mrembo niliyemtafuta kwa miaka mingi sana bila mafanikio, sana sana niliambulia matusi mpaka nikawa najisikia vibaya.

Iko hivi, huyu mdada tulifahamiana miaka zaidi ya 10 iliyopita mimi nikiwa mwaka wa mwisho wa masomo yangu chuoni, yeye akiwa mwaka wa kwanza, nilimpenda nikaamini nikimtongoza hata kataa, niliamini tutaoana na nikaamini tutajenga familia. Siku ikawadia nikakutana naye face to face nikaomba appointment, akakubali kukutana na mimi siku iliyofuata na kweli alifika kwa wakati sehemu tuliyo kubaliana, basi baada ya salamu nikaanza kujieleza, hata kabla sijamalizia, akasimama akaniambia nilidhani una jambo la maana kumbe ni huo ujinga, hapa umepotea njia. (hiyo sentensi niliyo bold ilinikatisha tamaa sana,)

Pia sikupenda jinsi alivyo ondoka, nibora angetumia lugha nzuri kiasi, basi mimi nikaacha kabisa kumtafuta tena ila nilikuwa nampenda sana tu, siku ya mahafali yangu nikaomba kupiga naye picha akaniuliza hivi unanionaje? sikujibu kitu nikawa namwangalia tu, akaondoka. Sikuweza hata kuomba namba yake maana ningeogelea matusi.

Baada ya kumaliza chuo nilikuwa namtafuta bila mafanikio maana niligundua account zake za mitandao ya kijamii hazikuwa active. Mwezi wa 3 mwaka jana nikaona account mpya ya mtandao mmoja wa kijamii yenye jina lake na picha zake, nikam request urafiki, nikamjulia hali hakujibu chochote ila alisoma sms yangu.

Sasa from no where juzijuzi akanitext kuomba namba yangu, nikahisi account yake imedukuliwa maana najua yeye hawezi kufanya hivyo, nikamjibu naomba yakwako nikupigie, akanitumia namba 2, nikaangalia usajili jina ni lilelile, nikampigia nikamsalimia kama vile hakuna kitu, ila kichwani ile statement yake ilikuwa inajirudia, baada ya muda akaniambia amepata changamoto X na hajui atafanyaje, basi nikaona sio kesi nikafanya muamala mnono, akashukuru tukaagana.

Baada ya dakika chache akanitumia ujumbe whatsapp wa kushukuru, nikamwambia sawa. Sasa tangu jana amekuja kwenye kikao cha kazini kwao, kinafanyika mji niliyopo, alivyonipigia kuniambia nipo kwenu, nikamkaribisha, ila kwakuwa nilikuwa mbali nilimwambia tutaonana leo, nikamuuliza atakuwa confortable kufika kwangu ili aone pia familia yangu na kufahamu ninapoishi? Maana niliogopa kutaja habari za lodge.

Akaniambia hayuko confortable, nikamwambia basi ngoja nitafute sehem tulivu tukutane akasema sawa. Saa 11 nimemaliza mambo yangu nikamuuliza alipo, akaniambia nikampitia tukaenda lodge ya mafichoni, yaani nimeshangaa maana hata hakukuwa na ugumu tukajikuta tu tumeshiriki tendo, akaniambia kuwa siku ile ya mahafali hata yeye alinihurumia alivyotafakari ila ndiyo hivyo ni mambo yaliyopita.

Nilichofurahi ni kuwa nime enjoy sana kutimiza ndoto yangu. Nimeona nisilale bila kutoa ushuhuda, kama yuko humu basi ajue nampenda.
Ama kweli bwege mtozeni, hapo unajiona janja???
 
Sijui kwa nini huyu binti namwogopa mimi. Namwonaga kama ni mtata sana. Unapata wapi ujasiri wa kumuita tu hovyo hovyo namna hii bro? 😳😳😳

Joannah hujambo? 🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
 
Ulimtumia shs ngapi????
 
Sijui kwa nini huyu binti namwogopa mimi. Namwonaga kama ni mtata sana. Unapata wapi ujasiri wa kumuita tu hovyo hovyo namna hii bro? 😳😳😳

Joannah hujambo? 🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
Kwangu namuona faller flani tu mkuu
Joannah
Anaringa sana nahisi kafungasha🤣🤣
 
Nisikilize na wengine watakaonisoma.
Mwanamke ambaye nitakuwa available kwake 24/7/12 ni yule nimemtongoza mimi, amenikubalia kiroho safi.
Moyo wake una mahaba kwangu.

Huyo hata akiniita ikinyesha au jua ninamwendea fasta.

Mwanamke anayenitaka yeye na sio mpenzi wangu kwa wakati wake hapana.
Siko cheap kiasi hicho.

Narudia.
Anayenipata anytime ni mpenzi wangu.
Sio vinginevyo.
Simba mzima wa afya hali mizoga bali huwinda....hiki ndicho kiburi changu
Unyama sana bro! 🙌🙌🙌
 
Bei Elekezi
Nimegundua mambo machache kwako:

1. Vijana wengi approach yenu mbovu....tengeneza mazingira na huhitaji nguvu nyingi kutongoza ujue

2. Huwezi day one sio sahihi sana kutongoza
3. Kuna wanawake ukionyesha uchu mkubwa umemkosa
..............................

4. Inasikitisha wanaume wengi hatujui thamani yetu...ke akikutaka yeye unapatikana 24/7/12
Huu ni ujinga mzito.

5. Nilivyo na dharau ningempa hiyo pesa kama ninavyosaidia yatima lkn simgusi kwa kutaka kwake hadi nimtake mimi.

6. Umeliwa kimasihara bro🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Shimba ya Buyenze
Kinachofanya mwanaume ampate demu ni shida ya pesa au fursa ambayo mwanamke anakuwa nayo. Isingekuwa hivyo tusingewapata n'go.

Hakuna mwanamke wa bure.
 
Sijui kwa nini huyu binti namwogopa mimi. Namwonaga kama ni mtata sana. Unapata wapi ujasiri wa kumuita tu hovyo hovyo namna hii bro? 😳😳😳

Joannah hujambo? 🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
Mawazo yako yapo sahihi😁😁😁😁huyu Glenn anajifanya ananimudu Sana.

Mi sijambo kabisa,Asante kwa kuniogopa😂
 
Sorry to say...wajasiria kei huwa hawana nafasi kwangu.
Kama kumpa pesa namsaidia kama mjane na yatima au mhitaji yoyote na sio manunuzi...
Siuzi na sinunui uchi
Na nimesaidia wengi hata siwakumbuki na sitatumia huo kama upenyo wa kupewa kei no

Alpha male traits right here....
 
Back
Top Bottom