Ama kweli Pesa ni kilainishi

Ama kweli Pesa ni kilainishi

Hakunaga mwanaume anakataa tongozo wapo availabo siku 365 na robo ukimtaka😁
Asiyekataa ni yule asiye na uwezo wa kutongoza au hana ubavu wa kutongoza apewe.
Nitakutetemekeaje wakati naweza kumla yeyote nimtakaye?
 
Asiyekataa ni yule asiye na uwezo wa kutongoza au hana ubavu wa kutongoza apewe.
Nitakutetemekeaje wakati naweza kumla yeyote nimtakaye?
Nikikutaka kesho nakwambia hauchomoi nitakukula vizuri tu tena nakukula na kachumbali na mayonaizi😁
 
Muamala mnono? Nataka kujua kajirahisisha kwako kwa sh ngapi? Usikute laki mbili?
Sijasema laki mbili ni kidogo nina sababu zangu nyingine kichwa.
Nawaza tu ndio wanawake asilimia kubwa tunapenda mwanaume mwenye uwezo hilo sio siri ila kuwepo na la zaidi linalo kuvutia kuwa na mwanaume flani kwenye mahusiano.

Bonafsi siwezagi kuwa na mwanaume kisa kanisaidia ikitokea ingawa haijawahi tokea lazima huyo mwanaume tofauti na pesa zake awe na vile vigezo mimi ninavyovitaka.

Wanawake inabidi tubadilike mleta mada inaonekana kabisa sio kwamba alimkataa kisa hana hela, no kuna kitu ambacho hakuvutiwa kutoka kwake ila kwa sababu sasa hivi ana shida kajizima data kajirahisisha.
Kamwe mwanamke usiombe msaada kwa mwanaume ambae unajua tofauti na pesa zake huvutiwi nae. Coz unapochukua pesa zake anajua una mpenda wakati humpendi, hapo ni kupoteza muda.

Yaan tofauti na pesa zenu kuna vitu tunavutiwa kutoka kwenye pesa inakuja baadae kusafisha njia.

Shida au kuachwa kusikufanye kuwa sehemu ambako moyo haupo.

Mfano kuna mwanaume ananipenda ana everything a woman needs, ila moyoni kwangu hayupo kabisa. Jana alikuwa ananiuliza birthday yangu ni lini? Nikamwambia imepita ilikuwa juzi tu trh 10 akaanza kulalamika oh kwa nini sikumwambia? Sikumwambia coz nilijua angefanya surprise kubwa sana mbwembwe zingekuwa nyingi wakati siko tiyari kuwa nae. Namuheshimu tu siwezi ruhusu meeting nae pole pole ataacha mwenyewe kunitafuta.

Wadada ndio tuna shida ila shida ndogo ndodo zisikufanye uwe cheap, sasa mtu ulishamtolea maneno unaanzaje kujizima data na kulala nae siku hiyo hiyo?

Shida ndogo ndogo si tunakopaga kwenye vikoba vyetu? Sijapenda coz alijukataa wakati uko single sasa hivi anajisogeza awe mchepuko dah.
 
H
Kwa hiyo sisi ni zoa zoa hatuna chaguo?
Hatujajua sasa Kama nyinyi ni zoa zoa au mmeendekeza sana libeneke kiasi Cha kushindwa kukutaka pale mnapotakwa na yeyotešŸ˜‚
 
Nikikutaka kesho nakwambia hauchomoi nitakukula vizuri tu tena nakukula na kachumbali na mayonaizi😁
Mbona nimekukataa mara kibaošŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Kwanza nilikutimua ukatembea peku hadi kwakošŸ˜‚šŸ˜‚
 
Duh,umempata akiwa keshabadilika tayari.
Kipindi kile alikuwa mpole,msafi na asiye na matamaa.
Ila kwa sasa keshabadilika,pesa mbele kawa mdangaji sasa kuachia papuchi kwa ajili ya pesa haoni tabu.
Kuna muda tuwe tunajitafakari kile tunachojisifu nacho kwanza kabla wakuu
 
Sasa hapa mkuu unasifia nini? Kweli hii Inahitaji akili ya kiintelijensia kujua kuwa ulichokifanya ni sawa na kununua malaya tena kwa kibunda kinono?
 
Duh,umempata akiwa keshabadilika tayari.
Kipindi kile alikuwa mpole,msafi na asiye na matamaa.
Ila kwa sasa keshabadilika,pesa mbele kawa mdangaji sasa kuachia papuchi kwa ajili ya pesa haoni tabu.
Kuna muda tuwe tunajitafakari kile tunachojisifu nacho kwanza kabla wakuu
Ssante sana, huu ni mchango wa mwanaume
 
Back
Top Bottom