Am Torn. . .Mrejesho wa Zombie


Swali hili sitaki kulijibu, kwa sababu hata wewe ukiulizwa utatoa jibu kutoka mdomoni na hilo jibu linaweza kuwa ni tofauti na lililoko moyoni mwako, halafu mimi sitaweza kuusoma moyo wako, hivyo sitaweza ku-prove unasosema ndio unacho-mean. Sitaki kuanzisha league ya nyingine ya kubishana.
Kila mtu abaki na jibu lake kwenye swali: mwanaume anapendewa nini, fimbo au mali?


Kwenye red, kama una nia na zombie jitahidi ujue sababu za kumuacha mwanamke aliyezaa nae watoto wawili. Ni roho ngumu mno kumuacha mama wa watoto wako wawili bila kosa la kueleweka, I m a man I know that. Na kwa maelezo yako he looks so presumptious, inawezekana yeye akawa ni tatizo.
Anyway uamuzi ni wako, so I respect whichever you decide.
 
kwikwikwikwi Kongosho waombe mods waiclose otherwise lazima tuendeleze ball tujue nani mshindi.


Nyie ndiye hamtaki kumwelewa Kongosho,

Ni kwamba keshatoa feedback, na sasa tunahamia kwenye kikao cha maandaliz ya harusi.

Mkuu Asprin anzisha uzi mwingine kuhusu maendeleo ya maandalizi ya harusi ya Kongosho na Zombie....

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Nyie ndiye hamtaki kumwelewa Kongosho,

Ni kwamba keshatoa feedback, na sasa tunahamia kwenye kikao cha maandaliz ya harusi.

Mkuu Asprin anzisha uzi mwingine kuhusu maendeleo ya maandalizi ya harusi ya Kongosho na Zombie....

Babu DC!!
kumbe katoa matokea ehee nani kashinda sitaki kuamini ni zombie,hata kwenye vikao msiniite labda ukumbini tu ili nimshuhudie zombie yukoje.
 
Usijali, nami niko busy. Nikitoka ntaenda kuwajoin.


Babu babu babu...hicho kisiwe kisingizio...amini usiamini hata mimi niko kazini saivi lakini lazima nije...!!!!


but i thought wewe ndo bikra pekee uliyebaki hapa JF...:shut-mouth:

najitolea kuleta keki

Keki hiyo iwe NDAFU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…