Am tired aisee!

Am tired aisee!

Unaambiwa mwanaume si sura nzuri, mwanaume anatakiwa kujua mchezo wa kitandani, ajue kukupigisha gwaride na kukuridhisha. Na akiwa na mkwanja hapo napo ni security nyingine.

Kweli?? si mnasemaga mwanaume pesa Ufundi VETA? au mmebadilika kwamba 'SASA KAZI TU'?
 
Unaambiwa mwanaume si sura nzuri, mwanaume anatakiwa kujua mchezo wa kitandani, ajue kukupigisha gwaride na kukuridhisha. Na akiwa na mkwanja hapo napo ni security nyingine.

Kweli?? si mnasemaga mwanaume pesa Ufundi VETA? au mmebadilika kwamba 'SASA KAZI TU'?
 
Tatizo wewe unalipa? yaani muonekano wako vp? kama ni kimeo ,huna mvuto ,kitandani zero...nani atakupa hizo hela? kama vp tupia picha ....otherwise kama uko vizuri ,huna wivu ( ninao wenzio nawagharimia) , then njoo pm
 
Hivi unajua ina raha yake ikifanywa na mwanaume, hili ndilo nilionalo, yaaai hata kama yeye atakuwa nazo kiasi gani ila ikifanywa na mwanaume ina nguvu ya ajabu na ladha yake pia. Inatakiwa mtupatie na wala msikimbie jukumu hilo, ni lenu.



Hahahahahahahahahaha.....Hapo unabidi kujiandaaaa kutatuliwa marinda wahenga wanasema mchumba hasomeshwi unaweza jinyonga bure......labda mke wangu ndio nitafanya yote makubwa hayo
 
unataka upendo au psa....au outin...? upendo ndio unakilakitu...be careful of what you wish for
 
Ww dada yangu akili zako ziko sehemu za siri so unacho kuwaza kitakuletea matatizo mengi kuliko faida bora ufanye kazi zako upate hela zako mwenyewe kuliko kukaa unawaza hela za wanaume tu na sisi hela zetu zina macho siku hizi.
 
Hizi ndio tamaa zinazowafanya muharibiwe miili yenu na kuanza kulaumu baadae, bure ghali siku zote...
 
amu liked this!!

Dah nimependa umekua so honest, jamani wenye mahela yenyu kuna matumizi huku!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: amu
we tafuta pesa kwa jasho lako mambo ya bure acha....
funguka akili masuala ya kutengemea mwanaume yameishapitwa na wakati.

Na ukitaka utumwa ukutawale endelea kumtegemea mwanaume. Mkuu ISLETS nakupa like zangu zote maana umesema ukweli mtupu
 
amu liked this!!

Dah nimependa umekua so honest, jamani wenye mahela yenyu kuna matumizi huku!

Laazizi nimekumiss whatsapp.....mwenzangu hata mie wanaume wasiojielewa kimfuko hapana taka...lol gari mwenzake service ujue
 
Last edited by a moderator:
Ningekua naweza dear ningeshafanya, maana hapa naweza kupanda za ndani ya nchi tu, na outing za kawaida nazimudu. But kuna ambao yaani nje ya nchi ni kama kawa alafu ukimuuliza nani ana lipia izo gharama, utaskia my bofriend, yeuwii ata si mchumba ake wala mume wake.



Hiyo nyota na mimi basi ininyookee uwiii am fade up


Inaelekea hata akili za kuendesha familia huna.
Unafikiria umaarufu na kutumbua hela za mwanaume bila huruma.
Hakuna mwanaume anaetaka mwanamke 'bogus' kama wewe.
Kama una uwezo wa kupata kipato jiongeze mwenyewe. Kusanya pesa nenda kazitumie utakavyo.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Duh,hii kali! Ucjali dada,bunge karibu litaanza sogea hapo mjengoni utapata mmoja asiejua matumizi ya kodi zetu atakupeleka out Ulaya na baadae kwene matibabu India.
 
Unaambiwa mwanaume si sura nzuri, mwanaume anatakiwa kujua mchezo wa kitandani, ajue kukupigisha gwaride na kukuridhisha. Na akiwa na mkwanja hapo napo ni security nyingine.
Yaani nimekupenda mamii, ni ukweli usiopingika, sebene 0, mkwanja 0 sa ww wa nini????
 
Daah asilimia 99 ya wanawake wanawaza kama wew sema we umekua open af usijionyeshe sana kwa wanaume kama uko after money sana
Ahsante kwa ushauri dear, ila kuwa wazi ni nzuri maana kuna wanaume huwa wagumu kujiongeza tukijiachia hivi ndo anaguswaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom