Jamani eee! Nimechoka ku date wanaume wazuri wa SURA, MFUKONI WABAILIIII! Yaani kila nikipata mpenzi ni mzuri, najikuta na fall kijinga, lakini WABAILIIII, MI SIWATAKI TENA.
Naomba MWANAUME MWENYE MOYO WA UTOAJI ANIONE NA MIMI NITOKE, ALAU NITOLEWE OUT ZA MAANA MWISHO WA DUNIA HUU JAMANI SJAPANDA NDEGE KWENDA NJE YA NCHI. Please anaejiweza aje Pm hatajuta na mimi ntampenda vile atahitaji.
Msinichambe please nimesema ukweli wangu
I think it's different when a man foot the bill for a woman bruh. Haijalishi ni wapi, ya kitu gani, ama ni kiasi gani.
Yaani hiyo kauli akiiongea mwanaume napata ukakasiiiii bora aiongee mwanamke aisee, daaaah kazi ipo.
You said it rightYou don?t need money or power or any other advantage to get by in this world; love is
all you need.
Nakuombea mwaya umekuwa mkweli mno na kweli yako itakuweka huru
Hebu jipange uipandishe pipa mwenyewe, hata hao wakaka unaowataka walianzia mbali. Hawakunyeshewa mvua ya hela.
HuYU KATIKA DUNIA YA UHALISIA HAYUPO, NENDA KWA FUNDI SEREMALA KAMCHONGE AKUWEKE NDANI.
HuYU KATIKA DUNIA YA UHALISIA HAYUPO, NENDA KWA FUNDI SEREMALA KAMCHONGE AKUWEKE NDANI.
Jamani eee! Nimechoka ku date wanaume wazuri wa SURA, MFUKONI WABAILIIII! Yaani kila nikipata mpenzi ni mzuri, najikuta na fall kijinga, lakini WABAILIIII, MI SIWATAKI TENA.
Naomba MWANAUME MWENYE MOYO WA UTOAJI ANIONE NA MIMI NITOKE, ALAU NITOLEWE OUT ZA MAANA MWISHO WA DUNIA HUU JAMANI SJAPANDA NDEGE KWENDA NJE YA NCHI. Please anaejiweza aje Pm hatajuta na mimi ntampenda vile atahitaji.
Msinichambe please nimesema ukweli wangu
Wapo mbona wadada wengine wanawapata
Badala ya kutumia ubongo wako vizuri ujikwamue kutoka kwenye umaskini wako, wewe unategemea mwanaume ndo aje ku-finance lifestyle yako.
Wanaume wa ivo wapo ila wachache, maybe uwe na bahati kuja kuwapata, na mara nyingi wanaume hao huja na other serious and humiliating consequences kama HIV/AIDS, wazee etc..
Ukizidisha kupenda vya bure mwishowe watakufumua marinda.
Ni hayo tu Princess21
hahahahahahaha....huyu Mndengereko wa Rufiji mwisho wake Kisiju tu!..anajichetua tu humu mitandaoni!....empty-headed,hana hata marketing strategy!!
Muangalizi wa kimataifa na natangulia kule kwenye michano arifu!