Aragorn son of Arathorn
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 789
- 832
Tafuta hela zako kwani mpaka upewe
Jamani eee! Nimechoka ku date wanaume wazuri wa SURA, MFUKONI WABAILIIII! Yaani kila nikipata mpenzi ni mzuri, najikuta na fall kijinga, lakini WABAILIIII, MI SIWATAKI TENA.
Naomba MWANAUME MWENYE MOYO WA UTOAJI ANIONE NA MIMI NITOKE, ALAU NITOLEWE OUT ZA MAANA MWISHO WA DUNIA HUU JAMANI SJAPANDA NDEGE KWENDA NJE YA NCHI. Please anaejiweza aje Pm hatajuta na mimi ntampenda vile atahitaji.
Msinichambe please nimesema ukweli wangu
You don?t need money or power or any other advantage to get by in this world; love is
all you need.
Ningekua naweza dear ningeshafanya, maana hapa naweza kupanda za ndani ya nchi tu, na outing za kawaida nazimudu. But kuna ambao yaani nje ya nchi ni kama kawa alafu ukimuuliza nani ana lipia izo gharama, utaskia my bofriend, yeuwii ata si mchumba ake wala mume wake.Hiyo nyota na mimi basi ininyookee uwiii am fade up
Jamani eee! Nimechoka ku date wanaume wazuri wa SURA, MFUKONI WABAILIIII! Yaani kila nikipata mpenzi ni mzuri, najikuta na fall kijinga, lakini WABAILIIII, MI SIWATAKI TENA.
Naomba MWANAUME MWENYE MOYO WA UTOAJI ANIONE NA MIMI NITOKE, ALAU NITOLEWE OUT ZA MAANA MWISHO WA DUNIA HUU JAMANI SJAPANDA NDEGE KWENDA NJE YA NCHI. Please anaejiweza aje Pm hatajuta na mimi ntampenda vile atahitaji.
Msinichambe please nimesema ukweli wangu
Jamani eee! Nimechoka ku date wanaume wazuri wa SURA, MFUKONI WABAILIIII! Yaani kila nikipata mpenzi ni mzuri, najikuta na fall kijinga, lakini WABAILIIII, MI SIWATAKI TENA.
Naomba MWANAUME MWENYE MOYO WA UTOAJI ANIONE NA MIMI NITOKE, ALAU NITOLEWE OUT ZA MAANA MWISHO WA DUNIA HUU JAMANI SJAPANDA NDEGE KWENDA NJE YA NCHI. Please anaejiweza aje Pm hatajuta na mimi ntampenda vile atahitaji.
Msinichambe please nimesema ukweli wangu
You don?t need money or power or any other advantage to get by in this world; love is
all you need.
we tafuta pesa kwa jasho lako mambo ya bure acha....
funguka akili masuala ya kutengemea mwanaume yameishapitwa na wakati.