Am tired aisee!

Am tired aisee!

d916cc494ffcb43b03a5278fb0da9b29.jpg
aargh,ila unaonekana sio mtamu kivileee,af una tumbo flani...
all the best though
 
kunasiku ulileta uzi ukimlalamikia mmeo kuwa hataki utundu na ukasema unamme tu (i.e huna extra allowance), leo unakuja na hii mpya kuwa unao wasiokupa pesa. which is which. kumbe humu story nyingi za shigongo tu!
 
...teh teh teh teh...single mother **** chakavu..jobless...bado unakohoa na kutapika?...,tezi na kuharisha kumeisha?
...unavyoipenda JF huchoki kubadili avatar....ila 'Izraeli' anakupenda zaidi..,hufi na mtu humu!!
..R.I.P
Mmh wewe!
 
Napenda sana mtu anaye kuwa muwazi maana hapa angekuwa mwingine angesema ni rafiki yake ndio yanayo mkuta haya safi sana mami kila lakheri
 
Weka malengo ya muda mrefu kuhusu mpango wa kupanda ndege kwenda nje ya nchi, weka dhamira na nia ya dhati nakuhakikishia utakwenda kwa pesa yako, utaenjoy na kurudi nchini salama salimini bila kumtegemea mwanamme, wanaume wenyewe choka mbaya, kwani wao waweze wana nini na wewe ushindwe una nini? nakuhakikishia ipo siku utatimiza ndoto yako tena kwa jasho lako bila kusaidiwa na mtu
 
unataka handsome mzuri au mwanaume mwenye pesa?kuwa straight sio unataka wazuri af hapo hapo unasema pesa....uzuri na pesa viiu viwili tofauti.....
 
Jamani eee! Nimechoka ku date wanaume wazuri wa SURA, MFUKONI WABAILIIII! Yaani kila nikipata mpenzi ni mzuri, najikuta na fall kijinga, lakini WABAILIIII, MI SIWATAKI TENA.

Naomba MWANAUME MWENYE MOYO WA UTOAJI ANIONE NA MIMI NITOKE, ALAU NITOLEWE OUT ZA MAANA MWISHO WA DUNIA HUU JAMANI SJAPANDA NDEGE KWENDA NJE YA NCHI. Please anaejiweza aje Pm hatajuta na mimi ntampenda vile atahitaji.

Msinichambe please nimesema ukweli wangu
Kuja pande hii ya PM LODGE.
 
hahaaaaaaaa raha jipe mwenyewe vya kupewa vina keraaaaa
 
Hao dawa yao unafuga unasuka mpapa au hujaisoma mbinu hii??
 
Plse nenda ukaombwe kwan utabaki kuchezewa na kutona pesa ya mtu kwa sababu malengo yako ni kupanda ndege tuu sio kudumu naye na kushare future naye
So jua hauwezi pata wa kukupandisha ndege mpaka pale utakuwa na future naye
 
Jamani eee! Nimechoka ku date wanaume wazuri wa SURA, MFUKONI WABAILIIII! Yaani kila nikipata mpenzi ni mzuri, najikuta na fall kijinga, lakini WABAILIIII, MI SIWATAKI TENA.

Naomba MWANAUME MWENYE MOYO WA UTOAJI ANIONE NA MIMI NITOKE, ALAU NITOLEWE OUT ZA MAANA MWISHO WA DUNIA HUU JAMANI SJAPANDA NDEGE KWENDA NJE YA NCHI. Please anaejiweza aje Pm hatajuta na mimi ntampenda vile atahitaji.

Msinichambe please nimesema ukweli wangu
Pole sana mdada mzuri bora umeongea ukweli wako toka moyoni maana msela kweli ni mpenzi wa MUNGU..... Ni PM hakika Mimi ndo suluhisho la moyo wako!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom