Am tired aisee!

Am tired aisee!

Huyu nahisi hata marinda hana,ana tamaa sana na anachokijua na kufundishwa Mwanaume ndo atakua mkombozi wake wa maisha bila kujishughulisha
 
Njoo kwangu. Mi kama ninazo tunaspend tu. Zikiisha unavumilia kidogo wakati natafuta zingine.
 
Muulize mamaako alimpendea nini babaako lofa hadi leo unawatukanisha hivi!
Pesa haina sura ya mtu!
Nyambaff!

Hahaha. Jamaa huwa umekula moto tu arif! Umekatwa nini? Bargain tu, umpeleke hata Burundi. Si lazima Cancun.
 
Jamani eee! Nimechoka ku date wanaume wazuri wa SURA, MFUKONI WABAILIIII! Yaani kila nikipata mpenzi ni mzuri, najikuta na fall kijinga, lakini WABAILIIII, MI SIWATAKI TENA.

Naomba MWANAUME MWENYE MOYO WA UTOAJI ANIONE NA MIMI NITOKE, ALAU NITOLEWE OUT ZA MAANA MWISHO WA DUNIA HUU JAMANI SJAPANDA NDEGE KWENDA NJE YA NCHI. Please anaejiweza aje Pm hatajuta na mimi ntampenda vile atahitaji.

Msinichambe please nimesema ukweli wangu
Shosti ivi hii dunia niyakutegemea mwili au moyo wakupenda? jitume nje ya nchi nenda kwa pesa yako jipange na usiishi kwakuiga maisha ya watu kila mtu na bahati yake,labda wewe nyota yako ya Punda au ya Mbwa,changa hela yako ukiwa na m2-3 unakwenda nje ya nchi na unakaa hotel unakula nakurudi kwa raha zako,unapolipia pesa za wanaume zitakutokea na puani shostii....
 
Jamani eee! Nimechoka ku date wanaume wazuri wa SURA, MFUKONI WABAILIIII! Yaani kila nikipata mpenzi ni mzuri, najikuta na fall kijinga, lakini WABAILIIII, MI SIWATAKI TENA.

Naomba MWANAUME MWENYE MOYO WA UTOAJI ANIONE NA MIMI NITOKE, ALAU NITOLEWE OUT ZA MAANA MWISHO WA DUNIA HUU JAMANI SJAPANDA NDEGE KWENDA NJE YA NCHI. Please anaejiweza aje Pm hatajuta na mimi ntampenda vile atahitaji.

Msinichambe please nimesema ukweli wangu

Binti,inawezekana wenzio wanakutisha tena wengi wale wanaoenda DUBAI for 2-3 days. Kwa kifupi $1000 tu inakutosha kuenda Dubai na kuinjoi weekend moja vizuri tu huna haja ya kuwa bf tajiiiri, jipsange tu save $100 kila mwezi baada ya miezi 10 una hela ya kutosha,angaliu uende ka vacation once a yr
 
Hahaha. Jamaa huwa umekula moto tu arif! Umekatwa nini? Bargain tu, umpeleke hata Burundi. Si lazima Cancun.

hahahahahahaha....huyu Mndengereko wa Rufiji mwisho wake Kisiju tu!..anajichetua tu humu mitandaoni!....empty-headed,hana hata marketing strategy!!
Muangalizi wa kimataifa na natangulia kule kwenye michano arifu!
 
mwenzako hata mombasaraha hawajapanda ila wemeridhika, tamaa mbele mauti nyuma usisahau hiyo methali
 
Binti,inawezekana wenzio wanakutisha tena wengi wale wanaoenda DUBAI for 2-3 days. Kwa kifupi $1000 tu inakutosha kuenda Dubai na kuinjoi weekend moja vizuri tu huna haja ya kuwa bf tajiiiri, jipsange tu save $100 kila mwezi baada ya miezi 10 una hela ya kutosha,angaliu uende ka vacation once a yr

I think it's different when a man foot the bill for a woman bruh. Haijalishi ni wapi, ya kitu gani, ama ni kiasi gani.
 
Jamani eee! Nimechoka ku date wanaume wazuri wa SURA, MFUKONI WABAILIIII! Yaani kila nikipata mpenzi ni mzuri, najikuta na fall kijinga, lakini WABAILIIII, MI SIWATAKI TENA.

Naomba MWANAUME MWENYE MOYO WA UTOAJI ANIONE NA MIMI NITOKE, ALAU NITOLEWE OUT ZA MAANA MWISHO WA DUNIA HUU JAMANI SJAPANDA NDEGE KWENDA NJE YA NCHI. Please anaejiweza aje Pm hatajuta na mimi ntampenda vile atahitaji.

Msinichambe please nimesema ukweli wangu

kwa nini usiwaze kumpata mtu mkaanzisha maisha mpk mkafanikiwa kwa pamoja. Nakwambia hutapata mume wa ndoto yako kwa kuwa you are not wife material. Wenzio wanaweka mapenzi kwanza mambo ya uzuri wa sura na utoaji vinakuja automatically mapenzi yakiwa ya dhati. Huna mapenzi unaweza pesa halafu kutafuta huwezi utazikwa hujapanda hata Fastjet
 
Poooooooooooooooooooooooooo huyu niachieni pleaeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees atatoa mlio tu
 
hahahahahahaha....huyu Mndengereko wa Rufiji mwisho wake Kisiju tu!..anajichetua tu humu mitandaoni!....empty-headed,hana hata marketing strategy!!
Muangalizi wa kimataifa na natangulia kule kwenye michano arifu!

Haha. Haya bana.

Kule we nenda tu. Mi nishamaliza. Called out, showed up, owned it.
 
Mimi ninayo ya kufika kariakoo, zamani nilikuwa nayo ya kufika buguruni... who knows, kesho ntakuwa nayo ya kufika feri... na zanzibar

Mdogo wangu, safari ni hatua, jifunze kutembea...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom