Am so Down

Am so Down

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,825
Reaction score
1,307
Guys.

Niko down sana. My boss is just frustrating me nimeomba kazi mpaka nimechoka.

Haongei na mimi. huwa akitaka kunipa kazi anatuma watu.

Nikiingia ofisini kwakwe anaongea na mimi kama vile mtu anajiuliza huyu mwanamke atatoka saa ngapi ofisini kwangu

Nafikiri ku resign nikiwa bila hata kazi nyingine nashindwa.

Please advise my Chi chat friends.

Maisha yanaelekea kunishinda.
 
vivian are you serious? Kwa hali unavyo isema inaonekana ndio boss wako anataka iwe hivo. But ukweli ni kwamba hana sababu yoyote ya kukufukuza so anakujengea mazingira magumu ili uondoke. Ukiondoka he will win and you will lose.
If you are not a loser and not a quitter then stand on your fight and shout it loud kwamba you are there to stay.
Kwanza kabisa soma upya job descriotion yako ujue kazi yako nini na unareport kwa nani. Pili soma performance evaluation yenu inasemaje. Maana asije kusema baadae kua alikupa kazi ukakataa. Tatu hakikisha kila kazi ambayo ni yako unafanya wewe. Akipewa mngine mwandikie email kusema kua umeshangaa kazi yako anapewa mngine (kutunza ushahidi).
Then just live your life ulienda hapo kutafuta kazi na sio marafiki. Kama kazi ipo chapa kazi. Kama hakuna be innovative and creative, tafuta namna gani unaweza kuisaidia kamouni yenu kuendelea.
But all in all don't quit and don't allow mtu yoyote to let you down. As one once said if you want to be happy just be. Huko kua down ni sababu umeamua.
 
Last edited by a moderator:
I guess sijaelewa vzur,ungeelezea kwa undani dada
 
Mwali you have said it all....kudos... vivian fuata huu ushauri...baadaye uje tunywe mbege
 
Last edited by a moderator:
......usikubali akuendeshe kwa hisia zake, kwani kakudhikia "Rimoti?"

Be brave, stand up for your rights!
Akinuna wewe jichekeshe!
Let him/her be a coward, aendelee kumtuma 'messenger' akuletee kazi...

Chukulia negatives zote into positives, mapungufu yake ni udhaifu wake sio wako! He/she is a 'puxxy' not a Bully!

Wewe fanya kazi yako hata zaidi ya 100%

He/she cant handle you!!!
 
Dont feel down my dia since you have done nothing wrong then there is no need for you to quit. Be happy and make sure you make him or her notice that you enjoy your presence there
 
"the advantage of being smart is that you can pretend to be stupid" vivian haya maneno sio ya bishanga ni signature yako.....tii signature yako na uta survive hapo kazini kwako.
all the best........ikishindikana well well well dinner na bishanga for further indepth advice.....????
 
Last edited by a moderator:
Vivy nitahitaji nijue gender ya huyo Superior ndiyo nijue cha kushauri.
Btw Bosses are one of the thin you just can't avoid in the workplace.
 
Kama boss ni me na aliwahi kukudu then ukaamua kumpiga down na ukatoka na staff mwenzio hilo unalo. kama ni ke anakuta unamshinda kimaendeleo pia unalo. muhimu fanya yaliyokuweka hapo job. be strong and cool.
 
Mamndenyi nakupongeza kwa kumuelewa vivian na kumpa ushauri.
Judgement naungana na jeverino kwa kutokumuelewa generally nimeona contradiction!
Mf . Angalia na'courte maneno yake.
"Nimeomba kazi mpaka nimechoka!"
"Akitaka kunipa kazi anatuma watu"
"Nafikiria ku resign nikiwa bila hata kazi nyingine nashindwa"
Sasa nikajiuliza vipi anaomba kazi mpaka anachoka wkt maeneo mengine yanaonesha yu'muajiriwa already?
Kama boss hakupi kazi na upo kazini siku imeingia tatizo nini ?
Nimemuliza Vivy gender ya boss kauchubua!
Nimekosa cha kumshauri.
 
Last edited by a moderator:
Anaonekana yuko mguu mmoja ndani mwingine nje na ndo maana wanashindwa kumpangia kazi. Nataka kukumbuka kuna wakati fulani sikumbuki kama ni vivian au ni nani alisema kuna dada mmoja walisoma wote sec akawa anamnyanyasa fulan ile ya kishule siku moja akajikuta ndo boss wake kama ni huyo hayo lazima hali itakuwa mbaya.
 
Ok Mamndenyi! Niko tu maskitiko , ya Egypt turmoil ! Naangalia Aljazeera news, inauma sana death tally & casualities increasin ! Millitary helcopter droned fire to the protesteres waliojikusanya uwanjani.
 
Pole zao. mie sipendi kujiumiza hapa niko very cool na jf na muziki laini tu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom