Taja Jin lako la kweli inbox nikupe tibaKi ukweli natamani sana marafiki wa kike but siko comfortable kabisa .... tangu ukuaji wangu nipo comfortable sana na jinsia ya kiume
Ki ukweli i have some life times friends ambao ninaweza fanya chochote kusaidiana ila wakiume
it hapens nimeolewa na wao wameoa na maisha yamebadilika ....nimewacutoff for the past 10yrs
the thing is hata mizunguko yangu ya sasa hivi uzeeni ni rahisi mimi kumuamini rafiki wa kiume hata kwa pesa ila sio wa kike jambo hilo linanitesa sana
I had two friends wa kike zamani sana sio kwamba walinipa trauma ila sikuona ule upendo wa kweli kama kwa wanaume.. ...sizungumzii mapenzi kabisa
urafiki wa kawaida kabisa
Jamani nahitaji marafiki wa kike kwa kweli
i dont know if its too late for that ila dm yangu iko wazi
30yrs and above..
sitaki mapovu kwenye replies...
i only reply dm