Wanawake wanaweza kuwa kweli ni marafiki, lakini wivu huwa hauishi baina yao. Wanawake wanaweza kuwa marafiki wakiwa na hali flani ya kufanana wakaenda sawa, lakini mmoja akipiga hatua wanaanza kuoneana wivu na yule aliepiga hatua, anaanza ego na self esteem kwa wenzake.
Pia wanawake wanaweza kuwa na urafiki wa kinafiki wao kwa wao na wakaishi hivyo muda mrefu tuu.
Kuhusu mada; nakutakia kila la kheri katika kupata marafiki wa kweli.
Pia wanawake wanaweza kuwa na urafiki wa kinafiki wao kwa wao na wakaishi hivyo muda mrefu tuu.
Kuhusu mada; nakutakia kila la kheri katika kupata marafiki wa kweli.