am new to chitcat

am new to chitcat

Nivea kwangu mimi mwenye macho matatu nishamjua tangu nilipoona thread yake mchana wa leo ila maadili hayaniruhusu kumtaja.

Wengine tuna akili kama redio ya mbao best.

ndio maana nakupendaga sana we mwanaume, yaani kuwa na wewe ni ulinzi tosha tena zaidi ya K K SECURITY.
 
Last edited by a moderator:
Chinekeeee...!! khaaa...! mzee mwenzangu watu8, with due respect utaniwia radhi, huyu binti yako lazima nimkabidhi ujauzito soon ili "hisma" ichukue mkondo wake..

Heheh mkabidhi tu muijaze dunia...
 
Last edited by a moderator:
utaanzia wapi kunipa :mimba:angalia sana na chunga sana kwani
utatolewa nduki na dady watu8 unamjua baba yangu wewe
Chinekeeee...!! khaaa...! mzee mwenzangu watu8, with due respect utaniwia radhi, huyu binti yako lazima nimkabidhi ujauzito soon ili "hisma" ichukue mkondo wake..
 
Last edited by a moderator:
hahahahahhaaaaaaa auwiiiiiiii mbavu zangu mie
Tena shukuruni nyie wanae hamumuonagi anaponyweaga laga zake.
Sisi ndo tunamjua habari zake za konani .
Bt tuna accord ya kutolikejisha pesono afea!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom